Do you mean it? are we talking about being an actress au? She is not a good actress.C'mon!! I love Julia Roberts but I think Jolie is way above her! Ingawa sio sana....lol
Commented on the missionery thingy bada ya kuona post yako ina insinuate kua waogopa her creativity katika sector hiyo...
You are a fan, hata nikisema she is schizophrenic bado utampenda tu. A movie I like? not really. I am more interested in her as Angelina Jolie than her acting history. Wewe unapenda ipi (I can't see the first page)?
Do you mean it? are we talking about being an actress au? She is not a good actress.
C'mon!! I love Julia Roberts but I think Jolie is way above her! Ingawa sio sana....lol
Commented on the missionery thingy bada ya kuona post yako ina insinuate kua waogopa her creativity katika sector hiyo...
Kwangu hapana aisee. Kwenye acting ability definitely Julia is better. Angelina has this wild atmosphere.
But if you ask any man which one he would he'd like to see privately, you know the answer.
About creativity lazima ujaribu na visu pia? Next time anakuja na AK47 kabisa.
Kabla hatujaandamana naomba mwambie Invii arudishe ile version ya threads ya zamani this is boring bana! lol
Napenda Salt, Original Sin, Beyond borders na zingine nyiiiiingi! lol
That salt thing was marvelous. Hakunaga
Hapo nipo ready kukusindikiza.
Adriana (Karembeu) Skleranikova?:wink2:EMT Do you think you have a rite to compare them na you have not watched more than one movie ya Jolie? I think not! lol
Upande wa seeing her in private.... I am woman and still would like to see her in private....lol
Mi naona kama amepatia vizuri just one movie, salt. Huku kwingine handsome anambeba kwa malipo ya ku keep figure na ku adopt watoto mpaka wakose pa kukaa.
Kila mtu ana mjanja wake! Mhh
*AD*
Uko vizuri kumbe...una soma, lea, shauri na kuangalia movie! What a leathal combination!
As an actress I think Jolie is more dynamic katika kucheza nafasi mbali mbali kuliko Roberts... Roberts picha zake nyingi she is more of a sweet lady....
scene kuzielezea siwezi ndugu yangu,ila movie ambayo kesho bado sijaielewa ni original sin yani ata ni icheki mara 100 bado sielewi ebu nipe kidokezo inahusu nini sana sana,MxNimefurahi... Naomba niambie kwenye salt na movie nyingine scene gani wapenda zaidi?
C'mon Ndahani.... ni zaidi ya hapo... ana movie nyingi zimesimama jamani tena nyingine nazo ni mannish na sio girlish....lol
Ndahani... mimi am passionate of the things I love.... na hobbies zangu zote nazipenda sawa, na that is cooking, reading, movies and Music. BTW Thanks for the salient compliment Pal....
Sijawahi kuiona Manyema FC ikicheza mpira lakini ukweli ni kwamba haitandazi kabumbu kama Simba FC.EMT Do you think you have a rite to compare them na you have not watched more than one movie ya Jolie? I think not! lol
Hapa nina wasiwasi hata kukusindikiza sasa.Upande wa seeing her in private.... I am woman and still would like to see her in private....lol
Sweet Lady? AshaDii you suck it up.
scene kuzielezea siwezi ndugu yangu,ila movie ambayo kesho bado sijaielewa ni original sin yani ata ni icheki mara 100 bado sielewi ebu nipe kidokezo inahusu nini sana sana,Mx
hahaha.... Nahisi umenitega... ila tu naomba nitegue mtego wako. lol
Ok. Original sin ni movie ambayo inahusu tajiri mmoja wa Mexico kuchumbia binti wa mbali ambae alijulikana mpole na amelelewa katika malezi ya dini katika kituo kimoja cha ma sister huko Marekani. Wakati yule binti anasafiri kuja kwa huyo tajiri ili kua mke bahati mbaya anauawa na majangili then mmoja wao anachukua hio nafasi (Angeline) na ku pose kama huyo binti kwa nia ya kuenda kuolewa na kumtapeli Utajiri wote huyo Tajiri wa Mexico (Antonio Banderas);
Huo ni mwanzo... ni story nzuri, it is about Love, Lust, Sex, Usaliti, Loyality na mengine mengi saana.