Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
madogo yana nafuu.Nalog offmakubwa
madogo yana nafuu.Nalog offmakubwa
nna wivu hata kwa mbu akikugusa ngozi yako.
"I wish ningekuwa sijao"
Mapenzi bana...yana vituko sana.
Mtu anakuambia 'you are the best I've ever had'!
'Sijawahi kumpenda mwingine kama ninavyokupenda wewe'!
'Wewe kwangu ndo mwanzo mwisho'!
'You are my all and all'!
Hizo ni baadhi ya kauli tu ambazo hutumika katika mapenzi. Hebu wekeni zingine ambazo mmewahi kuzisikia ambazo watu huambiana wakiwa under the influence of hormones!
...:A S embarassed:...jamani jamani jamani....!
...:A S embarassed:...jamani jamani jamani....!
...:A S embarassed:...jamani jamani jamani....!