The best I've ever had

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
Mapenzi bana...yana vituko sana.

Mtu anakuambia 'you are the best I've ever had'!

'Sijawahi kumpenda mwingine kama ninavyokupenda wewe'!

'Wewe kwangu ndo mwanzo mwisho'!

'You are my all and all'!

Hizo ni baadhi ya kauli tu ambazo hutumika katika mapenzi. Hebu wekeni zingine ambazo mmewahi kuzisikia ambazo watu huambiana wakiwa under the influence of hormones!
 
Hehehehe! Mimi niliishawahi kuambiwa ukiniacha najiua nilipomuacha nikamuuliza vipi mbona hauja commit suicide nikaishia kuambulia matusi....lol
 
Teh teh teh....that right there is kicks!

Hapo usikute kila anayeanza naye mapenzi anamwambia hivyo hivyo!

Wewe ni mtu wa kwanza kupenda kwa dhati hivi, ukinitenda sitakuja penda tena!

Sikujua kama kupenda ni raha hivi... Wallah' wewe huna mfanowe!

Translation: (in blue) wewe ndio mtu wa kwanza kua nae kwenye mahusiano, ukiniboa nitakua na "hit and run"

Translation" (in Red) sikujua kua kuna mtu aweza kua ready for my boot call kila saa... Kweli huna mfanowe!

Go figure....lol....
 
[FONT=arial, sans-serif]baby if you were a fruit, i would say its matured and ripe just ready to be grabbed and eaten. lol! wanaume wana maneno matam jamani[/FONT]​
 
'If am stuck on a deserted island the only thing i wish to have next to me is you'-Say a chick with five Heineken cans in her head.
 
Hahahahahahahahah,

Umekumbuka nini kaka???

Mie niliambiwaga enzi zile kuwa mtoto halali usiku kucha ananiota mie!!

Babu DC!!
 
Hebu funguka bana....wewe ushawahi sema yapi?

Hua silinganishi watu kwenye haya mambo , yaliyopita yamepita. Kwahiyo badala ya kumwambia mtu "you are better than my X" namwambia "HE IS GREAT". Badala ya kumwambia "your the best I've ever had" namwambia "YOU ARE THE BEST". . .as simple as that.
 
Is your gentleman the best or the bestest?
 
Hua silinganishi watu kwenye haya mambo , yaliyopita yamepita. Kwahiyo badala ya kumwambia mtu "you are better than my X" namwambia "HE IS GREAT". Badala ya kumwambia "your the best I've ever had" namwambia "YOU ARE THE BEST". . .as simple as that.

Mbona bado naona element ya kulinganisha vitu....

You are great because there was some who was not....and you are the best because there is or there was some who was just good...???

Au ni makengeza yangu tu!!
 
nimeucharanga charanga moyo wake vipande milioni moja.

Yeye ni ndege aliye angani anatafuta pa kutua, na ameamua kutua kwangu.

Yeye ni mateka aliye jangwani, mie ndie barafu na mwokozi wa moyo wake

my pen is blue, my love is new. Hii sijawahi ielewa ilimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom