Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,434
Wewe ni mtu wa kwanza kupenda kwa dhati hivi, ukinitenda sitakuja penda tena!
Mwanamke aliniambia 'I love u like Heinz Ketchup'..
Teh teh teh....that right there is kicks!
Hapo usikute kila anayeanza naye mapenzi anamwambia hivyo hivyo!
Kwanini ni vituko?
Huamini kwamba inaweza ikawa kweli??!
baby if you were a fruit, i would say its matured and ripe just ready to be grabbed and eaten. lol! wanaume wana maneno matam jamani
Hebu funguka bana....wewe ushawahi sema yapi?
Hua silinganishi watu kwenye haya mambo , yaliyopita yamepita. Kwahiyo badala ya kumwambia mtu "you are better than my X" namwambia "HE IS GREAT". Badala ya kumwambia "your the best I've ever had" namwambia "YOU ARE THE BEST". . .as simple as that.

"You murdered my Heart"