araway
JF-Expert Member
- Sep 26, 2007
- 534
- 144
wana jf naomba ushauri wenu! ni enternate connection gani mnatumia ambayo inaweza kuwa cheap zaidi na mimi nijiunge nayo? kwa sasa natumia ttcl mobile lakiniwao wamepandisha gharama kutoka sh 50 kwa mb adi 100 kwa 1mb. inaniwia vigumu kuweza kudawnload pages kwa wingi, mnaniacha sana mwenzenu.naomba kama kuna mdau anayeweza kunisaidia japo kwa ushauri nipo tayari kuupokea.
nawakilisha
nawakilisha