The best ISP in Tanzania

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
534
144
wana jf naomba ushauri wenu! ni enternate connection gani mnatumia ambayo inaweza kuwa cheap zaidi na mimi nijiunge nayo? kwa sasa natumia ttcl mobile lakiniwao wamepandisha gharama kutoka sh 50 kwa mb adi 100 kwa 1mb. inaniwia vigumu kuweza kudawnload pages kwa wingi, mnaniacha sana mwenzenu.naomba kama kuna mdau anayeweza kunisaidia japo kwa ushauri nipo tayari kuupokea.
nawakilisha
 
Araway
Waweza kujiunga na Africa Online, wameanzisha Broadband service kama hiyo ya TTCL lakini wao wanacharge kwa mwezi, Kuanzia Dola 40 na 80 na kuendelea hawana limit za download, hata ukitaka kushusha dunia nzima utashusha tu. Try them.
 
wana jf naomba ushauri wenu! ni enternate connection gani mnatumia ambayo inaweza kuwa cheap zaidi na mimi nijiunge nayo? kwa sasa natumia ttcl mobile lakiniwao wamepandisha gharama kutoka sh 50 kwa mb adi 100 kwa 1mb. inaniwia vigumu kuweza kudawnload pages kwa wingi, mnaniacha sana mwenzenu.naomba kama kuna mdau anayeweza kunisaidia japo kwa ushauri nipo tayari kuupokea.
nawakilisha

Try Zantel, nasikia wao ni Tshs 50 per MB. Inaweza kuwa alternative nzuri kwako.

Karibu
 
Alai, kwani TTCL broadband inakwenaje bei zake?

Kaka IDIMI,

Nadhani hukujua kama hawa TTCL waliongeza bei mara 6 ya bei ya awali. Kwa sasa wanatoza Tshs 280 per MB. Kuna habari ililetwa hapa ila sikumbuki link iliko. Kifupi TTCL imekuwa aghali kama VodaCom.
 
sasa jamani nani amefanya comparisons kati ya hizo akagundua ipi ni reliable and yet cost effective.
 
Kaka IDIMI,

Nadhani hukujua kama hawa TTCL waliongeza bei mara 6 ya bei ya awali. Kwa sasa wanatoza Tshs 280 per MB. Kuna habari ililetwa hapa ila sikumbuki link iliko. Kifupi TTCL imekuwa aghali kama VodaCom.

naona ndio ladha ya management ya wazungu inaanza kuonekana sasa!!!!chenge yuko wapi??
kuna anayejua sababu ya kuongezeka kwa bei ya broadband per MB??pliz naomba nisiambiwe kupanda kwa crude oil new york!!

CEO ttcl vipi bwana??hatuko canada hapa mambo gani haya ya kuwaumiza wananchi wetu kwa gharama zisizo na msingi??
 
Wakati bei za Information Communication Technologies zinazidi kushuka chini katika kona nyingi duniani, kwetu ndiyo zinapanda tena kwa asilimia kubwa tu...why why why?! Kweli ulishawahi kusikia shirika la kimataifa au huko ughaibuni limepandisha bei ya broadband badala ya kushusha?!

SteveD.
 
wana jf naomba ushauri wenu! ni enternate connection gani mnatumia ambayo inaweza kuwa cheap zaidi na mimi nijiunge nayo? kwa sasa natumia ttcl mobile lakiniwao wamepandisha gharama kutoka sh 50 kwa mb adi 100 kwa 1mb. inaniwia vigumu kuweza kudawnload pages kwa wingi, mnaniacha sana mwenzenu.naomba kama kuna mdau anayeweza kunisaidia japo kwa ushauri nipo tayari kuupokea.
nawakilisha
siyo tsh100 kwa sasa ni shs 260kwa mb haijulikani kigezo kilichotumika kupandisha namna hivyo. juzi tu tanesco nao wamerusha service charges zao kutoka sh 200000 hadi 500,000 jamani vitu hivi siyo luxury tunaenda wapi?
 
kwa kifupi viongozi wa tanzania hufikiria very stupidly!!
wanadhani wakipandisha gharama za vitu kila kukicha ndio kukua kwa uchumi ...,au ndio sense of superiority..,au ndio kupanda kwa GDP!!mie nashindwa kuelewa kabisa yani hivi wanatumia ubongo au??

asilimia 70 ya consumer comodities tanzania ziko kwenye price range ya europe or even more!!!sasa najiuliza kitu kimoja...,does tanzanians earn more than europeans??

why the hell do we even try to compare??kuna tatizo gani kilo ya mchele ikauza shilingi mia moja??hata kama europe inauzwa sh 2000??
yani crude oil ikipanda 2% kale kacnhi ketu watu wanapandisha bei 100%!!why???

najua east africa hakuna internet/telecommunication backbone(which is under construction indian ocean) but why the hell do we go for expensive alternatives always???why??
 
Mkuu taratibu, ila kelele zetu zenye mapendekezo juu ya nini wafanye ndizo zitaleta unafuu katika masuala ya ICT. Give em alternatives!
 
Mkuu taratibu, ila kelele zetu zenye mapendekezo juu ya nini wafanye ndizo zitaleta unafuu katika masuala ya ICT. Give em alternatives!

wanajua alternative but they are too much over their heads for no good reasons!!
one of the reasons i fail fail to understand them is they know the alternatives and they have been told a lot of times!!
may be corruptions has it roots here too..,since i suppose hiring an expensive management for the sake of new investment wasnt as wise as they said.plus bado hawajaamua kuweka ICT as the main issue in our country!!
they fail to recognise that an efficient ICT sector is way cheaper than an inefficient one!!
think of how ICT would solve problems from health management,resource management..,and even financial sectors...,so far we have th most primitive financial sector around!!BUT they fail also to understand that all those top class financial sectors in the globe are backed by an above par ICT backbone!!

why did i say that???

if you have a stronger ICT..,which we can surely have..,those upper costs can easily be covered by cooperate world without hurting the end user(wale kina pangupakavu wenzangu)!!

so if they are looking for a shortcut by increasii=ng prices they only are hurting the course of ICt development in such a problematic prone country!!

i know they know all about what i have just written!!BUT i never stop wondering why are there no actions!!
 
Kwa ujumla gharama zimepanda kila kona, ila kama utaweza kubahatika kutumia Zantel wireless ni nafuu kidogo ila ni kwa DSM na ZNZ tu, ila kwa ujumla ni nafuu.
 
Kwa ujumla hawa jamaa wa TTCL wamezidiwa na wateja na sasa wanataka kuwapunguza kwa nguvu ila ni ujinga kupandisha bei, cha msingi ni kupata wapinzani wao ili wawachukulie biashara yote
 
kwa kifupi viongozi wa tanzania hufikiria very stupidly!!

..watanzania wengi kwa jumla,hata mimi!

wanadhani wakipandisha gharama za vitu kila kukicha ndio kukua kwa uchumi

..ni kutokujua,kunako pumbazwa na maisha mazuri baadhi yetu/yao waliyonayo...hivi viji pesa!wakati nchi haijengwi kwa watu wachache kufaidi maendeleo na kuendelea!

au ndio sense of superiority

..we are not,on every sense of the word!
au ndio kupanda kwa GDP!!mie nashindwa kuelewa kabisa yani hivi wanatumia ubongo au??

..sidhani!kwani gdp imepanda?simply ni kutokana na kutofuata ushauri wa wataalamu na watu kuwa wabinafsi!

asilimia 70 ya consumer comodities tanzania ziko kwenye price range ya europe or even more!!!sasa najiuliza kitu kimoja...,does tanzanians earn more than europeans??

..kwa sababu,not best known to me,kuna gharama kubwa sana za kuendesha shughuli almost zote za kiuchumi tz[kodi etc inaweza ikachangia kwa kiasi kikubwa].sasa,huwezi kutoa huduma currently bila kupandisha bei,simply hailipi!waulize watoa huduma watakwambia!

..mbaya zaidi ni kuwa mtanzania wa kawaida hana kipato cha kuweza ku-afford most of this services!lakini kwa kuwa kila mtu hula kazini kwake basi baadhi humudu!

why the hell do we even try to compare??kuna tatizo gani kilo ya mchele ikauza shilingi mia moja??hata kama europe inauzwa sh 2000??

..lets go step by step!...mkulima anatumia shg ngapi kuzalisha mpunga?how about kununua mbegu,his/her labour input,and other expenses?..bei ya mchele iliyopo ni sahihi,pengine hata ni ndogo!ila anayefaidi si mkulima!ni mchuuzi!

yani crude oil ikipanda 2% kale kanchi ketu watu wanapandisha bei 100%!!why???

..ujanja mwingi juu ya bei halisi!

najua east africa hakuna internet/telecommunication backbone(which is under construction in indian ocean) but why the hell do we go for expensive alternatives always???why??

..we have very few choices,do we not?
 
kuna ile thread ilikuwa inazungumzia kukauka kwa hazina and wakaja hapa watu fulani (siwataji) wakiitetea serikali kwa matumizi hasi na pia niliwaeleza kuwa kama wao ndio waliopanga ile bajeti basin wanafaa kufutwa kazi.... Hii haina tofauti na kupanda bei vitu ili kuziba pengo la ile nakisi ya bajeti.

tatizo la viongozi wetu ni kwamba wengi sio dot com ni viongozi ambao wameidandia technology kama mtu anavyodandia mkuki kwa mbele. Hawajui lolote wala manufaa yake zaidi ya manufaa ya kinadharia. kama wana nia ya kweli na dhati wapigania kuweka fair price ktk huduma za kitechnologia ili angalau wazalishaji wetu waweze kuongeza pato la taifa kuuza nje kupitia teknologia hii.

wakati sisi tunang'ang'ania kuongeza bei ya umeme wenzetu wanaijeria wamerusha setlait yao angani.. sidhani kama kuna nyaraka zinazoelezea maendeleo ya kiteknolojia tanzania ifikapo 2050.

tufike mahala tuweke siasa pembeni lets talk about real change na lets promote change in our minds and our children ili kizazi chetu kisiishie veta.
 
tatizo la viongozi wetu ni kwamba wengi sio dot com ni viongozi ambao wameidandia technology kama mtu anavyodandia mkuki kwa mbele. Hawajui lolote wala manufaa yake zaidi ya manufaa ya kinadharia.

ebwana mkuu hapo hujakosea hata kidogo,i have met 90% of top gov officials wa nchi yetu,yani kwenye sejta nzima ya ICT ni zero kabisa!!wengine hata hiyo USB hawajui ni kitu gani!!leo hii apelekewe proposal ya satelite si wamtaka ugomvi??haoni umuhimu wake hata kidogo!!

anyways,tutafika tu!!ipo siku!!mie always nasemaga tuwe na bunge la makabwekla na la wataalam!!wao wala nchi wakae waongee pumba zao za suti za sare zao washonee wapi na upuuzi mwengine woooote!!lakini atleast wawepo watu wanaofanya vitu vya maana!!yani bunge-or whatever they will call it!!ambalo lita-include wasomi kutoka nyanja mbalimbali za maendeleo hapa TZ.hii biashara ya kutujazia form four bungeni,haitusaidii lolote sasa hivi!!

na hata hao wasomi wakienda wanaishia kuwa redused to nothing!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom