THE ACCIDENTAL BILLIONAIRES- The founding of facebook: a tale of money,genius and betrayal

Ndio maana mimi nilikuwaga najiuliza sana, inakuwaje Eduardo Severin ana utajiri mdogo sana kulinganisha na alionao Mark wakati yeye ndio mwanzilishi msaidizi.

Sasa kwenye hii story ndio nimepata jibu, kumbe Mark aliwahi kumfanyia ufukunyuku?
Eti Leo hii Eduardo Severin ana networth ya $600m pekee wakati mark ana $56bn.

Kweli kwenye haya maisha mtu yeyote anaweza kugeuka adui yako muda wowote.
 
According to Forbes, as of 4/3/17 Ana Real time Net worth ya $8.3 Billion, bado incomparable to $59.4 B ya Mark. Hasa ukizingatia pesa yake Eduardo ndio iliyoikuza theFacebook.
 
Mkuu Stand alone nimesoma jana bandiko lako non stop hadi tamati. Very interesting. Waweza niruhudu nikapost hii mada kwenye jukwaa lingine nje ya jf? Huko watsap
Wewe jamaa ni muungwana sana hauko kama mimi.

Mimi nachukuaga stori za humu alafu naenda kuziuza kimya kimya kwenye WhatsApp groups alafu sifanyi acknowledgement yeyote.

Watasamee tu kwa kweli... Kuna Demu mmoja alikuwa ananiletea mashauzi nikimtumia message hasubui anajibu jioni... Nikafanya utafiti nnaojua mimi mwenyewe, baada ya kugundua hajui kitu chochote kuhusu Jamiiforum. Nikasijesema lazima nikupate.

Nilikuja MMU nikachukua stori za Lara 1 zote nikaweka kwenye library yangu, kisha nikamfuata tena nikaanza nae taratibu "mpendwa kuna stori moja nzuri kweli hapa nimeitunga nataka nikutumie uione alafu uniambie kama ni nzuri" akajibu "inahusu ni nini"? Nikamjibu "Ni kisa tu cha kimapenzi si unajua tena ndio chapter inayo run dunia" akasema "sawa nitumie".

Nilivyomtumia episode moja tu ikawa kama nimemuonjesha asali wakati buyu lake analiona. Kwanza nilianza kupigiwa hadi simu " bhana vipi mbona unimalizii stori,!!? Nitumie bwaaana" nikasema yesss huu ndio wakati wangu na mimi wa kulinga, nilimtumia vipande vipande na huku na yeye akishika jukumu la kuniachangia bundle na baada ya kuzoeana sana tulianza Ku piga stori za kunyegeshana ambazo alizifurahia.

Na siku tulipokuja kuonana ilikuwa ndio mwanzo wa mahusiano yetu na haikunipa taabu mimi kucheza nae mechi ya ufunguzi siku hiyo hiyo.

Namaliza kwa kusema JF idumu milele.
 
According to Forbes, as of 4/3/17 Ana Real time Net worth ya $8.3 Billion, bado incomparable to $59.4 B ya Mark. Hasa ukizingatia pesa yake Eduardo ndio iliyoikuza theFacebook.
Asante kwa marekebisho kuna post niliisoma mwaka Jana FB ilikuwa inasema ana $600ml. Nakushukuru mkuu
 
Wewe jamaa ni muungwana sana hauko kama mimi.

Mimi nachukuaga stori za humu alafu naenda kuziuza kimya kimya kwenye WhatsApp groups alafu sifanyi acknowledgement yeyote.

Watasamee tu kwa kweli... Kuna Demu mmoja alikuwa ananiletea mashauzi nikimtumia message hasubui anajibu jioni... Nikafanya utafiti nnaojua mimi mwenyewe, baada ya kugundua hajui kitu chochote kuhusu Jamiiforum. Nikasijesema lazima nikupate.

Nilikuja MMU nikachukua stori za Lara 1 zote nikaweka kwenye library yangu, kisha nikamfuata tena nikaanza nae taratibu "mpendwa kuna stori moja nzuri kweli hapa nimeitunga nataka nikutumie uione alafu uniambie kama ni nzuri" akajibu "inahusu ni nini"? Nikamjibu "Ni kisa tu cha kimapenzi si unajua tena ndio chapter inayo run dunia" akasema "sawa nitumie".

Nilivyomtumia episode moja tu ikawa kama nimemuonjesha asali wakati buyu lake analiona. Kwanza nilianza kupigiwa hadi simu " bhana vipi mbona unimalizii stori,!!? Nitumie bwaaana" nikasema yesss huu ndio wakati wangu na mimi wa kulinga, nilimtumia vipande vipande na huku na yeye akishika jukumu la kuniachangia bundle na baada ya kuzoeana sana tulianza Ku piga stori za kunyegeshana ambazo alizifurahia.

Na siku tulipokuja kuonana ilikuwa ndio mwanzo wa mahusiano yetu na haikunipa taabu mimi kucheza nae mechi ya ufunguzi siku hiyo hiyo.

Namaliza kwa kusema JF idumu milele.
Mkuu umetisha
 
We noma kweli. Ila uwe kama CIA basi. Wao baada ya muda kupita huweka taarifa zao wazi, zilizokuwa za siri. Na wewe umwambie ulikozitoa
 
Ahahaha..,..nitafanya hivyo mkuu ila sio sasa kwa maana huo umafia bado unanisaidia.
 
Asante Mkuu kwa kazi nzuri uliyoianza na kuimaliza vyema. Ni miongoni mwa kazi nzuri katika jukwaa hili.
Thanks in advance
 
Back
Top Bottom