nilitaka kusema nikaona nikae kimya, hii list imekaa vibaya, kwani kuna watu wanaitwa influencer kwa kuwa wanafanya Post Doc Harvard, au wameishi nje muda mrefu kabla ya kurudi TZ. Nadhani haya ni makosa.Hivi ni vitu vya kawaida,sana, na u can get such people in hundreds kwenye vyuo vyetu au taasisi zetu za serikali.Kwani Kina Chenge mnafikiri wana elimu ya kubabaisha?
kuwa influential, sio lazima uwe na elimu, naamini kijana kama Diamond ni Influential na anamaana kubwa kwa TZ interms of entertainment industry kuliko sie tunaokusanya digirii 5 halafu tunaishiaku-influence circles zetu tu.
Kama unatafuta Influential Tanzanians Anzia hapo hapo Tanzania, Tazama watu waliosimama nje ya boksi na kuamua kuwa mfano +ve kwa jamii.
Kwa mfano,mie nitaweka watu ambao kazi zao zimeimpact angalau wato milioni moja,directly au indirectly, kwa maana ya recognition,influence au awareness.
1.Mwanamuziki Diamond (For his hardwork and dedication in music industry)
2.Mwanamuziki Prof J (For his legendary contributions to Tanzania Music industry)
3.Mwanasiasa Zitto (For his brave nationalistic attitude towards imporving Transparency)
4.Mwanasiasa Mnyika (One of bright young politicians with huge reposnibilities in TZ biggest opposition party)
5.Mwanasiasa Halima Mdee ( Chairwoman of Bawacha and a politician, for being one of a few elected women MP's from opposition in TZ bara)
6.Mwanaharakati Sugu ( for his legendary contributions towards bongo fleva/hiphop industry in TZ)
7.Prodyuza Master J (for his legendary contributions to TZ music industry- basically created the industry with Master J)
8.Prodyuza Majani (For his legendary contributions towards TZ music industry)
9.Mfanyabiashara Ruge Mutabaha ( Clouds brings out polarized opinions but their work has impacted millions of Tanzanians in one way or another)
11.Kiongozi Nehemia Mchechu ( for bringing a spark of life to NHC, an ernomous TZ institution, not an easy task but he has done a better job than his older compatriots,considering all the positives and negatves)
12.Mfanyabiashara Dewji Mdogo( he inherited the riches, but that's not his mistake, part and parcel of running such a huge business as ME is employing thousands of Tanzanians, more can be done on the welfare of these employees,but that's always the case with businessmen)
mie nafikiria kwenye mistari hii..,