Yaani tajiri wa kwanza Tanzania hana pesa za msanii wa Marecan. Kama Jay Z au P. diddy. Kazi kweli kweli.
Gulam Dewji ndo Mohammed "MO" Dewji??
Yawezekana Bakhresa ndio ameandikwa kwenye FORBES lakini aliyeandikwa ndani ya mioyo ya Watanzania ni Reginald Mengi. Unapokuwa tajiri waangalie na wanaokuzunguka katika mahitaji yao nawe utaandikwa kwenye jarida la maana zaidi ya FORBES, MOYO
Hao waandishi wanaweza kuonekana fake kwa kuandika habari na kuipamba na uongo ndani yake. Sijui ni kampuni gani kati ya makampuni yanayomilikiwa na hao matajiri yameorodheshwa kwenye soko la hisa liwe la Tanzania au ya nje ya Tanzania maana makampuni ya hao matajiri naweza kusema yote ni private companies, sasa wameangaliaje mfumo wa wanahisa katika soko la hisa?
Oh yeah YAKO kwenye STOKE EXCHANGE ndio Maana nimetafuta ya KIINGEREZA wana WEBSITES za MAKAMPUNI yao
MENGI yeye yuko kwenye NASDAQ kwenye hio kampuni yake ya DHAHABU - I was shocked na Unaweza kununua HISA
NDIO Maana nadhani akiendelea HIVYO atakuwa # 1; GOLD bado inatrade JUU YA US DOLLARS ni MIAKA 6 sasa toka UCHUMI wa DUNIA UANGUKE OUNCE MOJA TU YA GOLD sasa hivi ni $ 1,746.11 ni tishio na Miaka 5 wakati OBAMA anachukuwa URAIS ilikuwa ni $ 320.00 tuu...
NDIO HAPO SASA TUNGEKUWA MATAJIRI HASWA lakini MKAPA kasaini MIKATABA ya asilima 3 tu na hakuna kutozwa KODI Katuua kabisaaaa
ngastukaMabilionea wa Ukweli wameweka pesa zao Uswizi. wengine hawa ni danganya toto tu. jamani msitutoe kwenye mada nyie waandishi wa habari.
Mbona Rizmoko simuoni kwenye list?
Mimi ni Tajiri kuliko wote na sababu ninaye YESU (Bwana na Mwokozi wa maisha yangu). Amen
hata mimi nakubari.ila nanyi waislamu pia mnatakiwa kukubari ukweli kuwa wasomi wengi walioshikilia nafasi nyeti nchini ni wakristo.period:A S 11:He has a point. Waislamu ndio matajiri wakubwa nchi hii.
Kati ya hawa mabilionea watano, nani analipa kodi kama inavyotakiwa? sikumbuki kuwaona kwenye ile list ya walipa kodi iliyotolewa hivi karibuni na TRA.