Kumbe waislam ni matajiri namna hii!!!! Dah!
Mkuu wewe na Waislam tu...hongera unajitahidi.
Wote hao hakuna hata mmoja kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa nchini
Fisadi Subhash Patel mbona jina lake halimo?
Mafuluki, anafanya biashara gani.
Mkuu wewe na Waislam tu...hongera unajitahidi.
DU Huyo mwenye infotech lile jengo karibu na round about ya kawe si muhaya yule?
SIJUI kwanini wanaweka PICHA ya MENGI wakati TAJIRI MKUBWA hadi FORBES anamtambua ni SAID BAHRESSA...
ALI MUFURUKI ndio NANI???
Wote hao hakuna hata mmoja kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa nchini