FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,911
- 109,286
Wanangoja nini? hakuna cha govt guarantee, hizo ni fikra za kizamani. Just bank guarantees are enough for 100MW generators.
Nakuunga mkono, hao wanajuaje biashara?
Wanangoja nini? hakuna cha govt guarantee, hizo ni fikra za kizamani. Just bank guarantees are enough for 100MW generators.
Mdondoaji,
Suala ni expensiveness of a project and cost or uzembe wetu kufany awhat is necessary to get stuff done?
Mbona Mtera na Kidatu ambazo ni least expensive zinatutoa kamasi kila mwaka? Do we even have a cuture of taking care of what we have like scheduled maintenance without opting to buy a new replacement unit?
Angalia magari ya Wabunge na Serikali, nobody really takes care yakapate full maximum utilization, kila 5 years tunadai gari limechoka tunataka jipya, where in the regulations of public goods we are accepting tear and wear and write off something in less than 5 years?
That is another problem, we buy and build stuff but we do are not taking care of them after the grand opening and wazee wa mikasi kukata tepe!
If my memory recollects well, it was somewhere between 1086-1989, when Tanesco communicated to Serikali an need to undertake a scheduled maintenance of Mtera and Kidatu and Serikali said NO, keep pumping the turbines...next thing I recall is massive importation of generators like swarm of Nzige and Unspecified Power Interruptions since then...25 years later we are yet to find a solution rather we are compounding problem after problem and short term after another and as always, we find these short term solutions are flawed and filled with corruption in addition to ridiculous pricetags!
kama mabomba ni tatizo basi watumie meli kusafirisha hiyo gesi na magari au laa wajenge vituo vya kuzalisha umeme huko huko wasafirishe umeme
Guys
Please know that our distribution and transmiSsion networks are also loaded and aged
Technical losses increase mzigo unapokuwa mkubwa kwahivyo hata generation ikiongezeka ni lazima transmission lines ( njia kuu za kusafirisha umeme kama 132kv to 220kva zijengwe )
Mwaka huu tumeshuhudia upotevu mkubwa wa umeme Arusha kwa vile msongo wa kilovolti 132 umezidiwa na vituo vya kupoozea havitoshi (substations)
Inatubidi basi njia kuu za usafirishaji umeme kuimarishwa ili kuzuia upotevu, njia za usambazaji km 33kv na 11kv ( umeme unaokuja majumbani) ziimarishwe, kwasasa hata kama kuna umeme unasikia transformer imezidiwa, ina maana wateja wameunganishwa wengi kuliko uwezo au kama masaki residential zimegeuka commercial
Kama mdondoaji alivyosema, tukibania hizi posho na kuzielekeza kwenye uzalishaji na usambazaji wa umeme tutanusuru nchi, sambamba na hilo ni lazima kupanua vyanzo vya gesi asilia, gesi kama reserve ipo ila ndio kwanza bado hata drilling hazijaanza mahali pengine
Mradi mkubwa kama stiegler unaweza kujengwa kwa awamu, yaani sio lazima zimalizike zote within 5yrs unaweza kuwa na 15yr life span ambayo inaongeza generation kwa awamu na kunusuru hali
Aliyetoa pendekezo la GE kuja na kusema alete mtambo ufungwe, kiuhandisi si sahihi, mtambo lazima uende na specs za gridi husika
Guys
Please know that our distribution and transmiSsion networks are also loaded and aged
Technical losses increase mzigo unapokuwa mkubwa kwahivyo hata generation ikiongezeka ni lazima transmission lines ( njia kuu za kusafirisha umeme kama 132kv to 220kva zijengwe )
Mwaka huu tumeshuhudia upotevu mkubwa wa umeme Arusha kwa vile msongo wa kilovolti 132 umezidiwa na vituo vya kupoozea havitoshi (substations)
Inatubidi basi njia kuu za usafirishaji umeme kuimarishwa ili kuzuia upotevu, njia za usambazaji km 33kv na 11kv ( umeme unaokuja majumbani) ziimarishwe, kwasasa hata kama kuna umeme unasikia transformer imezidiwa, ina maana wateja wameunganishwa wengi kuliko uwezo au kama masaki residential zimegeuka commercial
Am afraid some thinking and application of mind are required and all those two components are not part of our strategies of Tanzania we want to build.kama mabomba ni tatizo basi watumie meli kusafirisha hiyo gesi na magari au laa wajenge vituo vya kuzalisha umeme huko huko wasafirishe umeme
Am afraid some thinking and application of mind are required and all those two components are not part of our strategies of Tanzania we want to build.
They are existing, Mchungaji. The problem that I see which we have capitalized alot regardless of the consequences, is that it is easier to make money in Tanzania, if things are in disarray, whether by design or by chance. We have millioners out of our problems. Ndio maana wana siasa wanailinda hii tabu kwa nguvu zao zote, maana kufa kufaana.THey are not part of our strategies or they are basically non existing in our brains?