KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 183
Huwa nawashangaa sana watanzania wanaofurahia kuiona Tanzania iko katika hali mbaya.
dont rely on statistical data R.B,they are fraud,actually tanzania tupo katika hali mbaya sana...u bette take a look on the ground and analyse them yourself
hizi tatwimu bana eti somalia ambako miaka kibao ilikua inaenda bila hata serikal wala shughuli yeyote ya uzalishaji nayo haimo.
Huwa nawashangaa sana watanzania wanaofurahia kuiona Tanzania iko katika hali mbaya.
du tukate rufaa hatumo? na maisha yalivyo bana ivi?!haiwezekan
hizi tatwimu bana eti somalia ambako miaka kibao ilikua inaenda bila hata serikal wala shughuli yeyote ya uzalishaji nayo haimo.
dah yaani Tanzania haipo? tumekosa nafasi adimu sana ya kujitangaza kimataifa na kuiletea nchi sifa kemukemu
GDP is not a suitable measure of economic welfare.A Country may have a great figure of GDP but if This GDP is not equally distributed in the society,then it is Meaningless.
Good news Mkuu!!....However we would like to know.......From which source??