The 10 poorest countries in the World | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The 10 poorest countries in the World

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Koba, Aug 5, 2010.

 1. K

  Koba JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Huffington Post | Nathaniel Cahners Hindman
  First Posted: Aug-3-2010 | Updated: Aug-6-2010


  Sub-Saharan Africa is the poorest region in the world, followed by South Asia, according to a new measure developed by Oxford University, with support from the U.N.

  The measure, called the Multidimensional Poverty Index, or MPI, will replace the Human Poverty Index in the United Nations' upcoming Human Development Report, due out this October. (hat tip to The Economist)

  For the past 13 years, the U.N.'s annual report has used the Human Poverty Index, which employs three basic dimensions -- length of life, knowledge and standard of living -- to measure poverty in developing nations.

  But this year, the U.N. will use Oxford's Index: a "multidimensional picture of people living in poverty" that complements income measurements "by reflecting a range of deprivations that afflict a person's life," including whether a household has a decent toilet, clean water to drink within 30 minutes on foot, electricity, school-aged children enrolled in school and whether any member of a household is malnourished, say researchers.

  A household is counted as "multidimensionally poor" if it is deprived of over 30 percent of the ten indicators used by the MPI. Of the 25 poorest countries researchers surveyed, 24 are located in Africa.

  The countries below are, according to the MPI, the 10 poorest countries in the world:


  1. Niger

  [​IMG]
  92.7% Living In Poverty
  65.9% Living On At Least $1.25 A Day
  89.5% Deprived Of Sanitation

  2. Ethiopia

  [​IMG]

  90% Living In Poverty
  39% Living On At Least $1.25 A Day
  61.5% Deprived Of Adequate Schooling

  3. Mali

  [​IMG]

  87.1% Living In Poverty
  51.4% Living On At Least $1.25 A Day
  36.2% Deprived Of Electricity

  4. Burkina Faso

  [​IMG]

  56.5% Living On At Least $1.25 A Day
  35.4% Deprived Of Nutrition
  55.1% Deprived Of Adequate Schooling

  5. Burundi

  [​IMG]

  84.5% Living In Poverty
  81.3% Living On At Least $1.25 A Day
  93.4% Living On At Least $2.00 A Day

  6. Somalia

  [​IMG]

  81.2% Living In Poverty
  69.1% Deprived Of Sanitation
  70% Deprived Of Drinking Water

  7. Central African Republic

  [​IMG]

  86.4% Living In Poverty
  62.4% Living On At Least $1.25 A Day
  82% Deprived Of Electricity

  8. Liberia

  [​IMG]

  83.9% Living In Poverty
  83.7% Living On At Least $1.25 A Day
  83.9% Deprived Of Cooking Fuel

  9. Guinea

  [​IMG]

  82.4% Living In Poverty
  70.1% Living On At Least $1.25 A Day
  54.2% Deprived Of Adequate Schooling

  (Above a woman casts her vote in Conakry, Guinea. In June, Guinea held its first free election since independence more than 50 years ago.)

  10. Sierra Leone

  [​IMG]

  81.5% Living In Poverty
  53.4% Living On At Least $1.25 A Day
  52.3% Deprived Of Drinking Water
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Naona wabongo tumepiga hatua, hatuko kwenye 10 bora za umasikini, basi tena. Akiingia Dr tutapaa kama tuko kwenye Boeing.
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu ukiangalia nchi hizo karibu zote zilikuwa na mikikimikiki ya vita muda si mrefu, lakini sisi wenye amani na utulivu usijekuta list ingewa expanded kidogo tu say 15 bora au mbau bora lazima ingekuwa ndani ya nyumba.

  Anywayz as u have said With Slaa tunaweza kuchomoka kabisa kwenye hizi list.
   
 5. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  true that
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  its curious kujua vigezo wanavyotumia, kwa mfano tuchukue nchi kama ethiopia, tuangalia walivyo na shirika la ndege kubwa almost the largets in the continent, ehtiopia air force ni very sophisticated ktk africa wao ndio modern kuliko wote hata ndege wanazo kubwa just check inventiry yao kwenye google, sasa izi figure wamezitoa wapi? kumaintain airforce ya ehtipia na ndege zote ni zaidi ya bajeti ya nchi nyingi za africa kama hii ya kwetu jhapo ujaangalia shirika lao la ndege la ethiopian airline lilivyo kubwa, sas kusema nchi hiyo ni masikini kwa kweli si sahihi, nchi kama yetu tunataka tujifariji kua sisi si maskini eti kuliko ehtiopia!
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu soma mwanzo wa thread utaviona vigezo, Ila hicho kigezo chako cha shirika kubwa la ndege kimeniacaha hoiiiii, du!!!!!!!!!? And wht about hiyo Ethiopian airforce unayoiita sophisticated, can you pls subtantiate?

  by the way did u know that..............The population of Ethiopia is approximately 82,825,000.
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Tupo kwenye list ya 30 poorest countries in the world. Mwanzoni mwa mwaka huu tulikuwa tunashika nafasi ya 27 kutoka mwisho. Tumepiga hatua, kutoka kuwa kati ya nchi 7 masikini zaidi duniani wakati wa Mwinyi. Pongezi nyingi kwa Mkapa!
   
 9. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kadanganya bana! Tz kasahau kuiweka, kama Etiopia imetajwa iweje Tz? au angeendelea kutaja tungeangukia kwenye 11 au 12.
   
 10. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Duh! Kuna haja ya kupiga ya ku-google sana mkuu. Tumia muda mwingi hapo. Otherwise, ni hatari sana namna hii
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wanaculculate kwa kuangalia kipato cha jumla cha taifa, kugawanya na idadi ya wakazi katika nchi. Kwa hiyo nchi kama Ethiopia inawezekana kwamba ina kipato kikubwa sana lakini mgawanyo wake unakuwa mdogo kwa kuwa ina idadi kubwa sana ya watu (80 milioni). Mfano mzuri ni hapa Tanzania ambapo ukiangalia tunaonekana tumepanda sana kiuchumi lakini ukiangalia hali za maisha za wananchi huko vijijini ni kama jana na juzi. Kipato walichoculculate ni kile ambacho serikali inaweza kukusanya kutoka kwa akina Rostam Aziz, Mengi, Mohamedi interprise na matajiri wengine wakubwa halafu wamekigawanya kwa watanzania wote, halafu inaonekana Tanzania umaskini umepungua. Na pengine kilichotusaidia sana, ni kwamba ongezeko la watu halijawa kubwa sana.
   
 12. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Check huyu jamaa. Ana uhalali wa kusema hivi. Kama nchi ni maskini, ya nini kuijua;
   
 13. n

  nomasana JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  according to this report ethiopia is poorer than somalia.
   
 14. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mwaka 2005 tulikuwa nafasi ya ngapi?
   
 15. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Tisidanganywe na hizi reports kwani hazioneshi hali halisi ya maendeleo ya watu; haingii akilini leo hii mtu kusema Tanzania ya leo imeendelea kuliko huko tulikotoka ili hali ya maisha ya watu imezidi kuwa mbaya!!

  Watu wengi zaidi wanakufa wakiwa wadogo kwasababu ya maradhi yakiwemo utapiamlo ambao unasababishwa na umaskini wa kipato wa wananchi; watu wengi hawana uwezo wa kuyapata maji safi na salama sio vijijni tu bali hata mijini!!

  Uwezo wa wananchi wengi kupata matibabu ni mdogo ukilinganisha na hapo zamani ambapo matibabu yalitolewa bure na zaidi ya yote ufisadi umekubuhu sana siku hizi ambapo kuna double standards jinsi ya kushuhulikia wizi wa maliasili za nchi kati ya wakubwa na makabwela!!

  Read these reports with a pinch of salt kwani haingii akilini inaposema Ethiopia ni masikini zaidi kuliko a stateless nation Somalia!!
   
 16. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #16
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nan ninyi wote mnaosumbuka na kuona aibu................................kwani ni nani aliwaambia kuwa nchi zote ni lazima ziwe sawa au zilingane?
   
 17. B

  Bettina Member

  #17
  Aug 8, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ekchware Tanzania iko kwenye TOP 5 Poorest in the world kwa DATA za IMF(2008) which were based on Per Capital GDP - Hawa IMF wako very precise kwenye data zao kwani ndo shughuli zao hizi!
  View attachment 12397 View attachment TZ.docx
   
 18. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The source is questionable, Bettina!!!
   
 19. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Takwimu za uchumi zinazoegemea kwenye pato la taifa/nchi na idadi ya watu si kigezo kamili cha kuelezea hali au maendeleo halisi ya nchi.

  Ni jinsi nchi inavyotumia (inavyogawanya) na kusimamia rasilimali zake ndivyo inavyoweza kujipatia maendeleo yenye matokeo halisi (impact/results) kwenye uchumi wake. Ni kweli Ethiopia ni masikini kuliko Tanzania ukiangalia pato na idadi ya watu. Hata maisha ya watu wao wengi ni duni zaidi. Lakini huenda wakawa wanatumia rasilimali zao haba kwa ufanisi zaidi kuliko sisi na hivyo kuwa na matokeo bora zaidi (value-for-money/results).

  Ndio maana wameweza kuendesha shirika la ndege na hata la meli; vitu ambavyo hapa kwetu bado ni ndoto.
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine, kuna uwezekano mkubwa kwamba hizi ranking huwa hazina ukweli wowote. Kwa mfano ukichukua ranking ya CIA ya nchi zenye GDP kubwa zaidi duniani, Tanzania imekuwa ranked ya 85 duniani kwa kuwa na Gross per capita income kubwa zaidi. Bonyeza hapa ili usome ranking iliyopo ambayo imeziacha nchi zaidi ya 160 chini yake.

  Lakini pengine makusanyo ya jumla tunaonekana tupo juu lakini ukija kugawanya hilo pato kwa raia wote ndo tunaonekana tupo chini. Hata hao IMF inategemeana wanacalculate nini kwa mfano ukiangalia calculation ya standard of living ya wananchi wa tanzania Human Development Index (HDI) utakuta watanzania tunashika nafasi ya 151 kati ya nchi 182 zilizofanyiwa utafiti mwaka 2009. Ina maana kwamba tupo katika nafasi ya 31 kutoka mwisho. Na katika orodha hiyo Tanzania inaonekana ni nchi inayoendelea ikiwa imeondolewa kwenye orodha ya Least developed countries ya mwaka 1995.

  Unaweza kusoma zaidi kutoka hapa kwa wakati wako.
   
Loading...