The 10 poorest countries in the World

The 10 poorest countries in the World

wadau tusilaumu utafiti kwani kwa vigezo vilivyotumika na presence ya mafisi hapa kwetu hakika ss si maskini kwan anachokichangia fisi D mmoja kimahesabu kinaonye taifa zina li tajiri lakilin hali halis wengi twaijua tu hohehahe wa kutupwa nyenda vjijin ujione
 
Jamani kuweni wazalendo na wakweli.
Tanzania si masikini kama mnavyotaka iwe!
Hebu tembelea mojawapo ya hizo nchi ndo mtajua umasikini ulivyo.
Ethiopia ni kweli kabisa nenda hata Adis Ababa au uliza waliokwishafika huko, They are real poor. Mambo ya shirika la ndege si hoja si biashara pekee ya kufuta umasikini.
Jifunzeni kuwa waungwana na wakweli juu ya nchi yetu Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
 
Tisidanganywe na hizi reports kwani hazioneshi hali halisi ya maendeleo ya watu; haingii akilini leo hii mtu kusema Tanzania ya leo imeendelea kuliko huko tulikotoka ili hali ya maisha ya watu imezidi kuwa mbaya!! Watu wengi zaidi wanakufa wakiwa wadogo kwa sababu ya maradhi yakiwemo utapiamlo ambao unasababishwa na umaskini wa kipato wa wananchi; watu wengi hawana uwezo wa kuyapata maji safi na salama sio vijijni tu bali hata mijini!!

Hebu tupe data kamili basi Bwana Bulesi sio useme tu watu wengi wamekuwa masikini kuliko ilivyokuwa zamani. Zamani lini?
 
Kuna comment moja pale inasema hivi:

Noooooo, it was the greed of the leaders of Africa that has crippled her. It is not the West or the 'white man's' fault. They have very rich resources. Do they exploit their oil/diamonds? Nope. They sell their land to 'others' for the quick money. And then, they hold the money for their lineage, leaving the people to suffer (murder, rape, torture). The Africans are not off of the hook in my book. And guess who's starting to invest in Africa? China. If Obama doesn't get on the stick soon, we're straight Civil War
 
Does it matter whether we rank as first or last in the poverty index? The important thing is to know that we are poor and find solutions to it.
 
Wenzenu 'Sierra Leone' wameshanawa, wamekubali mzungu arudi tu kusaidia (he he he), wao wamesema hawawezi na ni hatari peke yao. Na washampa 'Tony Blair' jina la kiafrika huko na u-chief juu, jinsi njaa ilivyowatia adabu. Na mababu wanadai eti akienda tena azungushwe na gari na lisilo na roof top hili watu wampe heshima anayo staili (eti ni mkombozi kwa mujibu wa mababu).

'Haki-ya-Mungu' tusipo weka kipaumbele kwenye mifumo ya elimu zetu we gonna be messed for a long time. Kabisa watu wameona bora mzungu harudi na 'Blair' anajisifu aliona mbali kuwa wajamaa wanaitaji msaada and he has been proven right by the people.

Mwisho mbona kwenye hiyo list 'Bangladesh' amna jamani wakati huko ndio njaa mpaka watu wanauza mafigo ya watoto zao.
 
Nonsense kujadili sisi Watanzania ni wa ngapi katika ufukara! Tujadili tutaondokaje katika hali tuliyo nayo - Ni Uongozi, Sera, Transparency, ama kitu/vitu gani tunahitaji kama mfortymycin wetu kuelekea 2020? Haya maviosion yao, mikakati, programu nk ni danganya toto tupu!
 
another western vendeta tool and propaganda to tarnish Sub-Sahara Africa!
1.Kwanini kiwango cha kupima ukata kiwe dola?na sio ubinadamu n.k?
2.Nani kaweka vigezo?
3.Kwa maslahi ya nani?
4.In comparison to who?( i mean standard)

"Ex Africa semper aliquid novi!" (Something new always comes out of Africa). Quoted from speech of Thambo Mbeki:mad2:
 
10 POOREST COUNTRIES IN THE WORLD BY GDP PER CAPITAL

There are many rich nations in the world which are well-developed and industrialized.

On the other hand, there are poor countries which are highly under-developed and poverty-stricken since centuries. All of these top ten poor countries are from the continent of Africa.

1. DR Congo, Africa
GDP per capita $347

2. Zimbabwe, Africa
GDP per capita $416

3. Liberia, Africa
GDP per capita $431

4. Niger, Africa
GDP per capita $475

5. Burundi, Africa
GDP per capita $730

6. Central African Republic, Africa
GDP per capita $774

7. Eritrea, Africa
GDP per capita $795

8. Sierra Leone, Africa
GDP per capita $845

9. Malawi, Africa
GDP per capita $850

10. Togo, Africa
GDP per capita $890

CONTINUE READING - Poorest Countries by GDP Per Capita | Statistic Brain
 
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
 
du ahsante sana mkuu. ila naamini thread yako haitapata wachangiaji wengi wa cdm maana kwao taarifa hiyo ni huzuni
 
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.

#Bungeni Leo tunajadili Bajeti ya Wizara ya Kilimo. Waziri kaomba tshs 333bn tu Kwa ajili ya Wizara yenye kuhusisha zaidi ya 70% ya Watanzania. Bajeti ya Kilimo ni 1.8% tu ya Bajeti nzima ya Serikali. Tunajua kuwa Umasikini wa Watanzania upo vijijini na shughuli yao kubwa ni Kilimo. Hata hivyo tunawezaje kuondoa umasikini wakati sekta ya watu Masikini haijaliwi kabisa? Jana #IMF na #BenkiYaDunia wametoa Global Monitoring Report ambayo inaonyesha kuwa Tanzania Ni nchi ya pili kutoka mwisho kwa umasikini katika nchi za EAC, ikiishinda Burundi tu. Taarifa inasema 68% ya Watanzania wanaishi chini ya dola 1.25 Kwa siku chini ya Rwanda 61%, Kenya 43% na Uganda 38%. Ni dhahiri kwa bajeti za namna hii katika Kilimo umasikini, ufukara, udhalili wa maisha utaendelea kuwakumbatia Watanzania.
 
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
teh! kwa miaka 50. tumpe mwingine uone kama hatutanunua petrol kwa lita sh. 500. Na dolla itabalishwa kwa sh. 600 tu
 
Back
Top Bottom