The 10 poorest countries in the World

Kwakweli hakuna tofauti yeyote kati ya Serikali ya ccm na ile ya mkoloni mwingereza kwakua imekopi na kupest MFUMO KRISTO.Ukitaka ujue mfumo huo muulize Mwingereza Carlmax"religion is opium of the people".Uone jinsi Mfumo unavyofisadi serikali kupiti misamaha yakodi,ruzuku za MoU etc.

Acha kutumia Masaburi kufikiri wewe tumia walau kamasi basi kama umeshindwa kutumia ubongo badala ya kupiga kelele makampuni ya simu yalipe kodi na migodi ya madini unapigia kelele misamaha ya kodi ya hospitali za taasisi za dini zinazokusaidia kutibu hizo akili zako fupi I'm ashamed to be your fellow Tanzanian
 
Nlitaka nisingie apa kwa kuwa zipo sababu nyingi kwa nini tz haipo na kamwe haikupaswa kuwemo. Ila vilaza wa uchumi wanarukia kusifia tu hata bila ya kutafakari. Kwa layman anaweza akahisi tupo kwenye maendeleo hata bila ya kujua maana ya GDP. Tuanzie apo ndo tutaelewa kwa nin tz haipaswi kuwa katika kundi hili wala si kukimbilia matusi kama wengi walivokimbia kuwaziba midomo wenzao.
 
Ndugu marire,inawezekana ukala mlo mmoja ila bado GDP ikawa juu. Angalia factors affecting GDP ndo utajua income yako inahusianaje!
 
Kua na hali mbaya haimaanishi
you are the worse. This is a comparison. Hata sijui nisemeje
uelewe...

mkuu hawawezi kukuelewa hao, we huwajui hawa ndo wale wanaotazama video za nyimbo za kimarekani na kuamini kuwa watu wote marekani wanaishi vile, wanakesha bar wakiponda bia na ngono wakat bibi ake hajanywa chai mwezi sasa huko kijijini, anaamini eti hali ni mbaya!
 
Why TZ is top ‘beggar’ after Iraq, Afghanistan



Dar es Salaam: Tanzania, whose aid portfolio has ballooned to over Sh3 trillion (about $2.89 billion) in its 50 years of independence, is currently Africa’s top beggar for development assistance, The Citizen on Sunday can authoritatively report today. That level of dependency makes it the third leading recipient of official development assistance (Oda) in the world after war-torn Iraq and Afghanistan.
The American organisation Visual Economics says the once-rich oil exporter Iraq tops the list of beggar nations with donations totalling about $9 billion followed by Afghanistan and Tanzania, whose development alms are nearly $4 billion and $3 billion, respectively, according to 2010 figures.


Kwa habari zaidi bonyeza hapa: Why TZ is top

Hapo ndiyo tulipo. Tusidanganyane. Bila hiyo misaada tungekuwa kama Zimbabwe au Somalia!!!
 
Hii ni sawa unamwambia mtu kua umekua mtu wa tisa darasani anaanza kukusifia wakati hajui kua darasa lenyewe linawatu kumi na moja tu!hali ni mbaya sana ndugu!
 
Wabunge Waibana Serikali

Wakati Tanzania imetajwakuwa nchi ya pili kwa umaskini kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, wabungewameishukia Serikali kwa kutenga fedha kidogo kwenye Bajeti ya Kilimo.Utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia na Shirika laFedha la Kimataifa (IMF), unaonyesha kuwa Burundi ndiyo nchi inayoongoza kwakuwa na watu wengi maskini ikifuatiwa na Tanzania kwenye eneo hilo.

Burundi inaongoza kwa kuwa na asilimia 81.32, Tanzania ikifuatia na asilimia67.87, Rwanda asilimia 63.17, Kenya asilimia 43.37 na Uganda 38.01. Utafiti huoulijikita zaidi katika kuangalia idadi ya watu wanaoishi kwa Dola 1.25 kwasiku.

Source: Mwananchi
 
Drc congo umaskin umesababishwa na mataifa ya ulaya kwa kutengeneza vta ila waibe dhahabu...tanzania ni rushwa na uongoz mbovu
 
Hzo takwimu zinaweza kuwa sawa tujikite ktk nchi za East Africa, Tz ni ya pili kutoka mwisho
 
aisee! hii inanikumbusha primary za kijijini, mtoto ana ringia kaputula yake yenye matundu matatu kwa sababu ya mwenzie ina matundu manne...
 
GDP ya TZ ni 23.6USD billion, ukigawa kwa idadi ya Watanzania utaon kila mmoja anapata Tsh 800,000 kwa mwaka. Bado kazi ipo
 
Wengi hawajui tofauti ya GDP na GNP. Kwa ufupi GDP huwahusisha watu wote waliopo nchini hadi wawekezaji, GNP huwahusisha watanzania tu (nationals) popote walipo. Someni jamani, shule muhimu
 
Wengi hawajui tofauti ya GDP na GNP. Kwa ufupi GDP huwahusisha watu wote waliopo nchini hadi wawekezaji, GNP huwahusisha watanzania tu (nationals) popote walipo. Someni jamani, shule muhimu

Fafanua kusoma sio sababu ndo maana kuna fani tofauti tofauti
 
CountryGDP Per Capita
1Congo$347.45
2Zimbabwe$349.61
3Burundi$407.73
4Liberia$440.66
5Somalia$631.87
6Niger$687.02
7Central African Republic$788.00
8Eritrea$795.20
9Sierra Leone$820.04
10Malawi$906.65
11Afghanistan$949.00
12Togo$983.25
13Mozambique$989.88
14Madagascar$1,000.77
15Nepal$1,013.43
16Ethiopia$1,057.45
17Guinea$1,061.91
18Haiti$1,108.55
19Mali$1,136.27
20Rwanda$1,137.06
21Guinea-Bissau$1,167.66
22Burkina Faso$1,275.19
23Uganda$1,311.32
24Bangladesh$1,384.53
25Tanzania$1,440.68


Poorest Countries by GDP Per Capita | Statistic Brain

Hapo ndipo serikali ya CCM na waungaji mkono wake wanapokuwa kama kobe hawataki kuuona ukweli hata kama kila kitu ni dhahiri kabisa.

Hakuna uhalali wa hii nchi kuwa katika hali ya umasikini iliyonao kwa miaka yote hiyo tangu uhuru. Vinginevyo mniambie tofauti ya wakoloni wa Kiingereza na CCM ni nini?

ukwel usemwe,TZ haustahili kua humo. asilimia kubwa ya hizo nchi kwe 25 zimeandamwa kwa vita au majanga ya asili au vita na nyingi hazina rasilimali km cc. .ni aibu
 
Huwezi kusema tumepiga hatua eti kwa sababu tulikuwa kwenye nchi 10 masikini kabisa na sasa tupo kwenye nchi 25 masikini kabisa.

Kwa sababu inawezekana tunazidi kuwa masikini (badala ya kutajirika) ila kuna wengine wanaozidi kuwa masikini kwa kasi kuliko sisi.

Chaguo kipimo kingine sio hiki cha kulinganisha na wengine bila kujua kiwango chetu wenyewe.
Mkuu ninakuelewa vizuri kabisa. hoja yako ina mantiki lakini ni wazi kuwa hatupo pale tulipokuwa 1961 au 1964 upepo wa mendeleo umetusukuma mbele kidogo japo tuna kazi kubwa sana kwenda mbele zaidi. kwa sababu tulikuwa karibu sawa na Malasia lkn sasa tukisimama nao ni aibu mkuu.
 
Wengi hawajui tofauti ya GDP na GNP. Kwa ufupi GDP huwahusisha watu wote waliopo nchini hadi wawekezaji, GNP huwahusisha watanzania tu (nationals) popote walipo. Someni jamani, shule muhimu

Hahaha shule shule, sisi tuliokimbia umande kazi yetu moja tu: kugeuza kila hoja kuwa ya siasa, maana huko hakuhitaji vitabu.
 
Mkuu ninakuelewa vizuri kabisa. hoja yako ina mantiki lakini ni wazi kuwa hatupo pale tulipokuwa 1961 au 1964 upepo wa mendeleo umetusukuma mbele kidogo japo tuna kazi kubwa sana kwenda mbele zaidi. kwa sababu tulikuwa karibu sawa na Malasia lkn sasa tukisimama nao ni aibu mkuu.

Unatumia kigezo gani kusema hivyo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom