viongozi walikuwa hawana 'brain' ya kuondoa umasikini,period...
tazama data hizi.....
1. mabilioni ya kikwete yalikuwa around 20 bilioni mpaka 200 bilioni hivi,nimesahau excact number..
2.IPO ya NMB peke yake zilirudishwa zaidi ya bilioni 100,baada ya kuwa oversubscribed....
sasa kama una wananchi tayari wana bilioni nyiingi za 'kuivenst' mpaka wanarudishiwa..
busara ni nini????? kuongeza pesa kwenye circulation??au kutafuta namna ya kuelekeza
pesa za wananchi kwenye 'investment zingine' ili nchi ifaidike?????
hivi unajua UTT peke yake wamekusanya zaidi ya bilioni 500 kutoka kwa watanzania?????
hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'
na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far...

Duh. Kazi ipo!Bro, mdomo unaumba eti! Membe ni uchuro kama uliopo, kazi kwenu wananchi, uzeni nchi kwa mara ya 2.
wrong"hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'
na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far..."
Hizi sentensi zako hapa ziangalie tena the Boss.
Kumbuka kazi ya serikali siyo kukutafutia investment opportuinities wewe mwananchi. Goverment ni regulator tu na inatoa tu support. Opportuinities ni sisi wenyewe tunatakiwa tuziidentfy na kuzifanyia kazi. Tanzania ni kati ya nchi zenye investment policy nzuri Africa.
Narudia tena kusema, tatizo siyo viongozi wetu, tatizo ni sisi wenyewe.
"hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'
na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far..."
Hizi sentensi zako hapa ziangalie tena the Boss.
Kumbuka kazi ya serikali siyo kukutafutia investment opportuinities wewe mwananchi. Goverment ni regulator tu na inatoa tu support. Opportuinities ni sisi wenyewe tunatakiwa tuziidentfy na kuzifanyia kazi. Tanzania ni kati ya nchi zenye investment policy nzuri Africa.
Narudia tena kusema, tatizo siyo viongozi wetu, tatizo ni sisi wenyewe.
Wewe unashindwa kuona connection ya serikali na wananchi?????
Kwamba watu wamerudishiwa pesa kwa kuwa oversuscribed wewe huoni hilo ni tatizo?????
kwamba sekta nzima ya biashara ya mafuta haina kampuni Daresalaam stock exchange....we huoni ni serikali yenye tatizo????
kwamba mpaka leo still hakuna kampuni ya simu listed DSE pamoja na serikali ku sign mswada we huoni tatizo????
policy nzuri zinamnufaisha nani?????
wewe unajua Kenya serikali wana hisa Safaricom??????
Hivi unajua serikali imepoteza billioni zaidi ya 400 ya kodi kwa kampuni ya VODACOM kuuzwa
kwa kutokuwepo na sheria sahihi????
unajua watanzania wanatumia zaidi ya billioni 6 kila siku kwenye daladala Daresalaam peke yake?????
na still ni usafiri mbovu kuliko??????
kosa la wananchi lipo wapi????? wailazimishe serikali iweke metro????
wrong
people are fooking broke, they are really broke
really really broke
usishangae wadogo zetu vyuoni wanauza kewis kwa dolar 5-30 ili wasurvive
hakuna pesa bongo............... fanya sensa ya akaunti tu achilia mbali waliojiariji na wanaoishi vijijini
MTM....watanzania hawana pesa
wako broke,but hicho kidogo walicho nacho kinafujwa.hilo ndo tatizo...
mfano TRA wanakusanya billioni 400 kwa mwezi?wanatoa wapi?kwa watanzania
NSSF na wao zaidi ya billioni 400 kwa mwezi ,wanatoa wapi ?kwa watanzania...
Tazama benki za nje zinavyo expand kwa kasi....pesa ya watanzania...
nimetoa mifano ya oversubscribed IPO....pesa ya watanzania..
faida za makampuni ya simu....pesa ya watanzania...
DARCOBOA walisema takwimu zao watanzania Daresaalam peke yake wanatumia dola milioni 4 kwa siku...pesa ya watanzania..
Wapi amechafuliwa na mimi... if you find any post in this thread i will apologize, but if not, i will ask once again, i dont do benders... just stay off my d!ck
na kwa kusisitiza tu... ni siasa chafu za kuanza kutafuta kurithi urais zinaharibu nchi hii.... mko bize mnahangaika wa kurithi wakati hata bei ya kilo ya unga hamjui
tuungane tusolve the pooerst of the poor... come 2012 vikianza vikao vya chama then you can take it inside the party, sio kulazimisha watu kwa kuwaletea images za kuzoeleka
You are just so narrow and you think everything in this world is propaganda and fanatism
we want results and accountability not suits and boarding passes
Issue ya kulist share DSE ni kitu kingine kabisa.Wewe unashindwa kuona connection ya serikali na wananchi?????
Kwamba watu wamerudishiwa pesa kwa kuwa oversuscribed wewe huoni hilo ni tatizo?????
kwamba sekta nzima ya biashara ya mafuta haina kampuni Daresalaam stock exchange....we huoni ni serikali yenye tatizo????
kwamba mpaka leo still hakuna kampuni ya simu listed DSE pamoja na serikali ku sign mswada we huoni tatizo????
policy nzuri zinamnufaisha nani?????
wewe unajua Kenya serikali wana hisa Safaricom??????
Hivi unajua serikali imepoteza billioni zaidi ya 400 ya kodi kwa kampuni ya VODACOM kuuzwa
kwa kutokuwepo na sheria sahihi????
unajua watanzania wanatumia zaidi ya billioni 6 kila siku kwenye daladala Daresalaam peke yake?????
na still ni usafiri mbovu kuliko??????
kosa la wananchi lipo wapi????? wailazimishe serikali iweke metro????
............kwanza sio wote tunaochaingia humu ni CHADEMA au CCM, halafu nimekukushauri usome thread za wenzako kwanza naamini utajiongeza kifikra, sijui umekulia wapi hujui fitina za ndani ya CCM; nakushauri tena soma thread na ama post za wenzio ujiongeze, kama ww ni mojawapo wale wanaotumia kichwa kuvalia kofia badala ya kufikiri, basi JF tumeingiliwa, pia acha U-CCCCM hapa mwaga hoja hamna cha mwenzetu hapa, hoja tu.Hivi kwanini kila anapoongelewa VIP ndani ya CCM, CHADEMA wanarukia kuhusianisha usafi wa VIP huyo kuwa umetokana na mmoja kuchafuliwa. Sasa watanzania tushike lipi? Kwamba wanaodaiwa kuwa mafisadi ndani ya CCM wamesingiziwa na wengine ili wao waonekane wasafi au ni kweli ni Mafisadi?. Jamani hapa nifafanulieni, Hivi kweli CHADEMA huu ndiyo mgongo wa kupitia ili kushika dola? Naogopa, naona kama hizi mpropanga hata zikiwafikisha huko Watanzania tutashindwa kuwahukumu pale mtakaposhindwa kutekeleza majukumu yenu? Nasema hivyo kwa sababu, ok mmeshika nchi na kwa maana hiyo Mafisadi hawana nafasi tena. Lakini nini kitafuata maanake kwa kipindi chote mlikuwa mnaimba wimbo wa mafisadi. Hayo mengine mnayoyasema ya shule bure, hospitali bure, kima cha chini cha mshahara 350000 nini mtafanya kuyafikia hayo hamsemi, na kwa uhakika hayawezekani kutokana na mabadiliko ya kiuchumi, sayansi na technolojia duniani, lakini kwa kwa vile KWA mjibu wa reseaRch za CHADEMA zinazosema "WANANCHI WANASIKILIZA KILA LIOSEMWALO NA CHADEMA HATA KAMA NI LA UONGO" tutabaki kuamini myasemayo lakini, watakaojuta ni wajukuu zangu kwa vile mimi sitakuwepo siku hizo na siwezi kudanganyika kwa maneno yenu kwa sasa.
................hapana! Membe wala sio kweli kwamba uwezo wake ni mdogo, hana uwezo kabisa huyu wa kuongoza nchi hii ya walala hoi; kama JK ni afadhali, je tukimpa yeye tutakuwa na nchi ya aina gani hii! uhasama, m.e.m.b.e ni ama ni mwenzenu ama alikuwa mwenzenu by then, lakini tusaidieni wasiomfahamu/wanaomfahamu kwa sura tu wamwelewe huyu jamaaaaaa! MUNGU IBARIKI TANZANIAMembe bado uwezo wake wa kuongoza ni mdogo, namfananisha na JK wote wanamvuto yaani ma HB lakini uwezo wa kwa kuwa rais NO, isipokuwa JK ambaye udini ulimbeba sana baada ya Mkapa aliyeongoza kwa muda wa miaka kumi muda wake kwisha.
Unatumia vigezo gani kutokumkubali?................hapana! Membe wala sio kweli kwamba uwezo wake ni mdogo, hana uwezo kabisa huyu wa kuongoza nchi hii ya walala hoi;
MTM,
Tuachane na other side ya Lowassa.
Tuongelee utendaji wake. Katika watu ambao wapo strong in leadership, wanaoweza kufanya maamuzi, wenye hekima na busara naona Lowasa anaongoza. Ukifuatilia utendaji wake kwenye wizara alizofanya kazi, unaona kabisa alikuwa na nguvu na alikuwa anasimamia anachokiamini.
Simpigii kampain kwa nafasi ijayo ya uraisi, but tunahitaji kuwa na rais mwenye sifa za Lowassa katika uongozi!
I will go for Lowasa than Membe
Issue ya kulist share DSE ni kitu kingine kabisa.
Kampuni huwa zinajilist kwa ajili ya kuseek for new equity capital. Kama kampuni ina hela za kutosha na owners wake wanaweza kujifinance wenyewe, hawana haja ya kujilist kwenye secondary market
Hapa itabidi nikupe darasa!kajifunze tena A B C D ya economy
wananchi wanamiliki vipi uchumi wa nchi yao
na nini maana ya public companies na private companies
na government owned companies....
na the role ya stock exchange kwenye kuwezeshawananchi kumiliki uchumi wao..
wewe unajua kwa nini wageni wamewekewa limitation ya kununua hisa DSE????
unajua kwa nini makampuni ya simu yalipinga kulazimishwa ku list DSE????
Hapa itabidi nikupe darasa!
Kuingia kwenye stock market hulazimishwi na mtu yoyote. Kwanza it is the most expensive source of financing. Better kwenda kwa debt financing than equity financing.
Kampuni ikitaka kuexpand its operations, kama hawawezi kujifinance na retained earnings na debt, ndio wanaamua kwenda kwa underwitter kwa ajili ya issue ya IPO then kampuni inaingia kwenye secondary market ambayo kwa TZ ni DSE.
Shareholders wengi hawapendi kwa sababu share yao kwenye kampuni inapungua.
Kwahiyo watu kuwa na hisa kwenye makampuni yaliyojilist DSE siyo kwamba wanamiliki uchumi wao!