Membe bado uwezo wake wa kuongoza ni mdogo, namfananisha na JK wote wanamvuto yaani ma HB lakini uwezo wa kwa kuwa rais NO, isipokuwa JK ambaye udini ulimbeba sana baada ya Mkapa aliyeongoza kwa muda wa miaka kumi muda wake kwisha.
Mkuu Pasco,
Tuweke record sahihi, Mkapa amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje 1977-80 under Nyerere, then 1984 - 1990. Baada hapo alikuwa Balozi Diria (RIP). Kwa kufuata hiyo mantiki yako, then Rais angekuwa Marehemu Diria. Maana kipindi cha 1990 - 1992, Mkapa alikuwa Habari na Utangazaji, then 1992 - 1995 akaenda Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia.
Kuhusu Membe, naomba usijenge hoja kwa kutumia Wizara ya Mambo ya Nje, maana itakuwa haina mashiko. Kutumia kigezo cha Kikwete kukaa MFA kwa miaka 10, bado Membe atakuwa hajafikisha miaka 10, maana kuna miaka 2 ya mwanzo alikuwepo Bibie Asha-Rose Mtengeti-Migiro.
Bottom line ni kwamba it is too early kuanza kuongelea mitandao ya kumuweka mtu kwenye hiyo nafasi. Sana sana kwa mtu kama Michuzi ni kujiwekea maadui bure na siasa za Bongo siku hizi ni za visasi. Waulizeni waliokuwa wapambe wa Sumaye leo hii wako wapi na wanafanya nini? Hiyo ndio siasa ya Bongo.
Pia siasa za CCM hazieleweki, leo hii watu wanaweza kuhisi kwamba JK yuko upande wa Membe na ukaja kushangaa dakika za majeruhi 2014 kuelekea 2015 jamaa anahamisha kambi kama ilivyokuwa kwa Mkapa ambaye alibadilisha mawazo dakika za majeruhi. Ni Mkapa huyu huyu na Philip Mangula ambao walisema wamestaafu siasa, ujio wao kwenye kampeni za Igunga should be a signal kwamba they are up to something. Uchaguzi wa CCM wa 2007, Mangula aliambulia patupu akaamua kuendelea na kilimo cha viazi huko kwao. Ilikuwaje juzi kule Igunga akakumbukwa na ni nani aliyemwita aende kupiga kampeni? Hali halisi ndani ya chama iko slippery hakuna ambaye ana uhakika na kitakachotokea 2015 on mgombea wa chama. Lakini uchaguzi wa ndani ya chama wa mwakani unaweza kutoa mwanga wa mwelekeo.
.......sure! Michuzi angalia hiyo red usipukutike nywele na ngozi kutoa vumbi babaMkuu Pasco,

lowassa naona anafaa kuwa raisi wa nchi hii kuliko wooote mnaowaongea
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.
Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.
Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.
Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.
Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.
Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
Thanks AshaDii... i just wanted to stir this up coz tumepoteza rationale yote ya maendeleo ya taifa, mahitaji ya wananchi policies za ndani na nje, development program, leadership for a good course na kuhamia kwenye ZAMU, KUSINI, KASKAZINI, FOREIGN ETCSasa nimeelewa kwanini baadhi ya wale member woote wanapoona umemtetea mtu wanaona sio bure na wanakutuhumu kua sio bure wee ndo mhusika.... i.e hii ID ya Lowassa OR other wise.... Dah!
At least umeamua kuwa muwazi na kupeperusha bendera ya Membe mapema, it is vivid but my advice to ya all, it is too early kufanya hivyo. You are just showing too much kupita hata rais wako aliyekusaidia kusogea sogea hapo na uwzo wako tata
at at least mna common interest now na game theory....
sijasema Membe mchafu wala sijaonyesha lengo lolote against, nimeonyesha jinsi political bias inavyoharibu our focusThread ya kutunga sebuleni kwa padre ili kuchafua waadilifu ndani ya CCM.
Membe is clean na mwajua ndio tishio kwenye chama chenu.
OTIS.
MTM,Thanks AshaDii... i just wanted to stir this up coz tumepoteza rationale yote ya maendeleo ya taifa, mahitaji ya wananchi policies za ndani na nje, development program, leadership for a good course na kuhamia kwenye ZAMU, KUSINI, KASKAZINI, FOREIGN ETC
PalMTM,
Tuachane na other side ya Lowassa.
Tuongelee utendaji wake. Katika watu ambao wapo strong in leadership, wanaoweza kufanya maamuzi, wenye hekima na busara naona Lowasa anaongoza. Ukifuatilia utendaji wake kwenye wizara alizofanya kazi, unaona kabisa alikuwa na nguvu na alikuwa anasimamia anachokiamini.
Simpigii kampain kwa nafasi ijayo ya uraisi, but tunahitaji kuwa na rais mwenye sifa za Lowassa katika uongozi!
mtm,
tuachane na other side ya lowassa.
Tuongelee utendaji wake. Katika watu ambao wapo strong in leadership, wanaoweza kufanya maamuzi, wenye hekima na busara naona lowasa anaongoza. Ukifuatilia utendaji wake kwenye wizara alizofanya kazi, unaona kabisa alikuwa na nguvu na alikuwa anasimamia anachokiamini.
Simpigii kampain kwa nafasi ijayo ya uraisi, but tunahitaji kuwa na rais mwenye sifa za lowassa katika uongozi!
sijasema Membe mchafu wala sijaonyesha lengo lolote against, nimeonyesha jinsi political bias inavyoharibu our focus
we need to sort out economy, food security, health, infrastructure nk. watu wako bize ku-endorse zonal, historical, political and all teh trash
Sorry kama imekuuma lakini if you take time kunisoma utaelewa...
BTW, siamini kama nina chembe ya udini.. na FYI nimesoma tarbiya til islamiya, nikasoma mafundisho ya sabato, na pia nikasoma St. teresa kipaimara... so dont think kila unayeweza kudhani unavyojua basi yupo hivyo
I am expressing my passion for the country rationally and not being any partisan crap
kakojoe ulale
MTM,
Tuachane na other side ya Lowassa.
Tuongelee utendaji wake. Katika watu ambao wapo strong in leadership, wanaoweza kufanya maamuzi, wenye hekima na busara naona Lowasa anaongoza. Ukifuatilia utendaji wake kwenye wizara alizofanya kazi, unaona kabisa alikuwa na nguvu na alikuwa anasimamia anachokiamini.
Simpigii kampain kwa nafasi ijayo ya uraisi, but tunahitaji kuwa na rais mwenye sifa za Lowassa katika uongozi!
Umeanza kwa kumshambulia Michuzi kuwa anamsapoti Membe.
Huna ushahidi wa tuhuma zako ulizotoa na inaonesha kuna siri nyuma ya tuhuma hizi.
Kakojoe ulalwe.
OTIS.
Mkuu, huhitaji kuona kuulizia mkun*u wa mbwa wakati mkia unauona... na haihitaji povu kujua agenda ya yule kijana> and i went to read again the post na sijaona shambulizi
Just stay off my dick!! I dont do benders
Wapi amechafuliwa na mimi... if you find any post in this thread i will apologize, but if not, i will ask once again, i dont do benders... just stay off my d!ckUnarusha mate mkubwa.
Target yako kumchafua membe na michuzi kama njia tu.
Acha kutumika kijana.
OTIS.