Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Mwalimu Augustine,
Mimi nimempa Mungu tukuzo. Nimempa shukrani, soma magazeti ya tangu mwaka huu uanze, mpaka leo, soma mijadala ya watu kama sisi JF na wengine, ni ishara wazi kuwa mapenzi ya Mungu kulipa Taifa letu neema yanatimilika, ila si kwa utashi wetu au kwa umahiri wa kiongozi wetu.
Yanayotokea ni dhahiri kuwa hata kama kwa nafsi zetu tunamuona JK hafai na ni batili, lakini ni JK huyohuyo ambaye katupa nafasi (kwa kudhamiria au hata bila kudhamiria) kuyazungumza yale ambayo yalikuwa hayazungumziki.
Sina uhakika kama wengi tumepata vizuri maana ya asemayo Rev. Kishoka. Anasema kwamba sasa inanonekana wale viongozi wa dini waliosema JK ni chaguo la Mungu hawakukusea. They spoke prophetically.
Sina uhakika kama wengi tumepata vizuri maana ya asemayo Rev. Kishoka. Anasema kwamba sasa inanonekana wale viongozi wa dini waliosema JK ni chaguo la Mungu hawakukusea. They spoke prophetically.
Nani alidhani JK angekuwa ndiye Rais atakayewatoa mkuku wale viongozi waliodhani kwamba mbinu zao za wizi wa mali ya uma ni kikomo?
And thanks God for Slaa, Thanks God for Zitto, thanks God for everybody who live and breath in Tanzania Uwepo wao wote ni katika mpango wa Mungu. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE KWA KUWA YOTE MAZURI AMEYAFANYA YEYE, NA MABAYA NI YA SHETANI, NA MUNGU SIKU ZOTE AMEENDELEA KUWA MSHINDI, I SAY THIS THROUGH CHRIST OUR LORD, AMEN.Kama ingekuwa hiyo ni kazi ya mungu nafikiri priority yake mungu ilikuwa kuwashushia wale wa-Dafur, Zimbabwe au Iraq kwanza.
There are some issues which are very scientific here, sasa hata hapa mahali mie nilikuwa napaamini mnaanza kuleta metaphysics na supersition.
Sababu kubwa ya muungwana kuanza kuact sasa hivi ni nyingi, wabongo wamechoka na anything can happen anytime; na huyu jamaa anataka kuendelea na miaka mitano mingine. Dr Slaa factor plays a very big roll in these changes, aliumbua vitu ambazo mtu wa kawaida alikuwa hajui. Kashfa ziko nyingi mno, another big factor ni information technology -internet. Zama za mwinyi au nyerere habari zilikuwa hazitembei. Another was Zito factor!
The only issue maybe from the beginning, Muungwana ameaacha free speech ishamiri hajawasweka ndani watu kama mkapa! Ben was a dictator. You cannot cheat people all the time!!
NO I THINK U DONT GET WHAT REV WAS TRYING TO SAY, JUS READ BETWEEN THE LINES, MIE NISHAMUELEWA, AMETUMIA LUGHA YA KITABU SANA KAMA MTU SI WA KITABU INAKUWA VIGUMU KUMPATA LAKINI HIVYO HIVYO KIDOGO KIDOGO TUNAENDELEA KUELEWESHANA.We are too cheap to believe that Muungwana is God given to us! It reminds me that we have easy minds! Please kishoka refrain and retrieve your words; this forum becomes too cheap! You are the best contributor to this forum; but this is a mess!
But Hapana, On The 2nd Thought, You People Dont Try To Make Kikwete Look Like An Angel Sent Down By Almighty Kupambana Na Mafisadi, Plz Read Careful And Understand What Rev Was Try To Emphasize.
Katika hiki Kitab Alf Layla wa Layla, napenda kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Subhana Wataala kwa kutupa Jakaya Mirisho Kikwete kuwa Raisi wetu.
We need to thank God for so much blessings to have Kikwete as man in charge.
Yes I have been critical of his leadership, I have mocked him, I have challenged him for his in-activeness and forgot that it was blessings in disguise from our Lord God!
Mungu ni wa ajabu sana, na nafikiri ni mapenzi yake tumepewa Kikwete awe kiongozi wetu. Ni mapenzi ya Mungu leo hii tupo hapa tukipiga kelele na baragumu tukitumia vinubi, zumari na tarumbeta kufukuta hasira zetu, vilio vyetu, aibu yetu na umoja wetu.
Si kwa mapenzi yake Jakaya Kikwete, bali ni mapenzi ya Mungu, kuwa yanayotokea sasa hivi, yalipangwa mapema na Mola.
Nasi tumkubali Jakaya Mrisho Kikwete kwa mapungufu yake yote, ukimya, uzembe, uvivu, uzubaaji, kutokuchangamka, kutokuwajibika na dhana kuwa analinda wale wahujumu. Mapungufu yake, ndiyo ngao na silaha yetu tuliyopewa na Mungu dhidi ya wale wenye kutaka kutufanyia dhuluma na kutuumiza.
Kuporomoka kwa Mawaziri wakubwa na mashuhuri wanne si mapenzi yake Kikwete, maana alitoa machozi. Lakini ni mapenzi ya Mungu leo hii nchi nzima si vilio kuhusu ufisadi tuu, bali mazungumzo ya kutaka uwajibikaji, mazungumzo ya kuimarisha ufanisi, na kulitakia Taifa letu maisha mema na Baraka za Mungu ndiyo yaliyotawala.
Tunataka mshikamano, tunataka uongozi madhubuti, tunataka tufaidi matunda ya utajiri wetu wa asili, uhuru wetu na matunda ya jasho letu bila kunyonywa, kudhulumiwa, kuonewa au kudhihakiwa.
Haya yote yasingetokea kama Kikwete wetu, mtalii, Vasco Da Gama, Sinbad, Chekacheka, Kisura asingekuwa madarakani.
Najiuliza je tungekuwa na mwamko mkubwa namna hii wa kutetea haki zetu kama tungekuwa chini ya Nyerere? Labda ungekuwako, lakini tungekuwa na woga.
Najiuliza je tungekuwa na ukali namna hii wakati wa Mwinyi, yawezekana, lakini bado tungekuwa na woga.
Najiuliza tena tungekuwa na uwezo wa kuchambua mambo muhimu kwa Taifa letu, kuishupalia Serikali, kutafuta ushahidi na hata kuimbua Serikali yetu wakati wa Mkapa? tungeweza, lakini angetupuuza na angetumia ujeuri na dharau zake kutokutusikiliza.
Sidhani kama Kikwete ni msikilizaji mzuri, ila ni baraka za Mungu kuwa kujivuta vuta kwake ambao wengine wamekuita Uyakhe yakhe, Ukwerekwere na Usaigon, ndio umetusaidia sana.
Yeye mwenyewe sijui kama analijua hili, lakini tafadhali sana wewe uliye mwakilishi wa Mheshimiwa Kikwete unayepita kuchungulia JF wamesema nini, mnapoamka Ijumaa hii na kujiandaa na Gwaride la Muungano, mwambie Mheshimiwa Raisi, tunamshukuru Mungu kwa kuwa yeye ni Raisi wetu.
Mapambano yetu bado hayajaisha. Tuendelee kutumia kudra, rehema na baraka hizi za Mwenyezi Mungu, kuendeleza Libeneke la kutaka uwajibikaji, ufanisi, umahiri kupiga vita Uhujumu, Uzembe, Dhuluma, Umasikini, Ujinga na Maradhi.
Kila jamii ina njia yake ambayo Mungu kawatengenezea. Njia yetu ya Ukombozi ni wakati huu wa ndugu yetu Muungwana akiwa Raisi!
Tutumie fursa hii kupigana na wale mahasidi wasiotutakia mema, tuendeleze shinikizo letu kwa viongozi wetu wawe watii wa sheria, walinzi wa katiba, wafuata haki na wanaothamini utu.
Through Jesus Christ our Lord, Amen, Amen, Amen
Through Muhamed our Lord, Amen, Amen Amen
By the Grace of Allmighty Lord, Amen, Amen, Amen
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Tubariki watoto wa Tanzania.
Sijui hapa hakieleweki nini, looks obvious though!
JK wasn't sent to eliminate FISADI'S!.... he was sent to be used as a tool to reveal fisadis!! Him siting where he is, he doesn't even know how these things happen.... they happen too fast for him. Thats why he is just busy with so many things outside the country and every time he tries to settle down he finds a resignation letter on his table....duh!!!
Thanks to God otherwise Chunusi wangetumaliza..... we didn't know they were there!!!!! Fungeni mikanda ....kumbe??!😡