Thanks Arushaone kwa kunipigania.

ha ha ha hongera shem halafu dada Madame B kila cku nakuambiaga Arushaone iko penda sana veve ila veve hapana 2lia.
Sasa umeona kwenye matataizo utamjua mume wa kweli.

Kwa kweli mdogo wangu amu nimeamini Arushaone ana mapenzi ya dhati kwangu.
Nampenda sana kwa kweli.
Amenipigania kiuhakika.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…