Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,427
- 31,475
No body is interested to know about your personal affairsZakumi, post: 30046023, member: 12016"]I have a full time job. Hivyo siwezi kuiga mifano yako ya ku-quote na kujibu.
Kama huwezi ku quote then kuwa mkweli, usiandike maneno yako ukasema ni yangu dishonest.
Kimya si kufeli, ni kutafakari
Nyerere alizaliwa 1922, 30 yrs later ilikuwa mwaka 1952. Nini kigumu kuelewa hapa?Katika posti yangu ya mwisho nilikuwa naonyesha kuwa Nyerere alipokuwa na umri kati ya miaka 0-30, alikuwa professional student na michango yake kwa TAA ulikuwa mdogo sana na wa kutojulikana.
Alikuwa katibu wa tawi la Tabora kwasababu alikuwa anafanya kazi, rejea kitabu cha MS
Uwepo wake Tabora hakuwa shuleni au mafunzoni, alikuwa kazini. Rejea MS
Rejea kitabu cha MS, mwaka 1953 alimbwaga Abdul katika mkutano mkuu wa chama pale Arnatouglo
Huyu ni ''professional student'' kwa mujibu wako aliyeweza kuangusha Nguli wa siasa! real, then alikuwa genius.
Akiwa na miaka 39 alipewa nchi! kama Rais wa kwanza wa Tanganyika huru!