Msuva anaihitaji Simba lakini Simba haihitaji msuva. Msuva anajua Simba ndiyo njia ya kuwafikia wakina Samatta hapo alipo asubiri yamkute ya wakina Ngassa na Cannavaro kuzeekea Sinza Shekilango kwa machangudoa.
Hahahaha! Kweli wewe ni wa mikia kabisa yaani... Tena usiye na mfano......!
Kwani goli tano zinapoint zaidi ya 3..?
Unampiga YANGA FC goli tano alafu ndani ya Msimu huohuo mwenzako anachukua UBINGWA akiwa na mechi za kutosha mkononi.....!
Ama kweli hamjui maana ya soka...!
Na yule mwenzako aliesema msuva hajawahi kuifunga simba utamuitaje!!!!?Umeanza mwaka huu kushabikia mpira maskini ya mungu wewe.
Unatuambia hapa mbele ya umma huu wa wanaume kuwa yanga alipopigwa bao 5 - 0 bado alichukua ubingwa.
Hebu yanga wenzako waje waone utaahira huu uliojaa jangwani. Maana huna haya hadhi ya kusomwa na waume zenu ila wenzako tu sema nitafanyaje na umeniquote.
Simba sc inafedha ya kumlipa Saimon Msuva.....?
Kabla hatujajadili suala la mshahara wake... Je simba Sc inafedha ya kumnunua saimon Msuva.....?
KUMBUKENI KWAMBA HIO KLABU YENU YA SIMBA SC NI KAMA KIKOSI CHA MABORESHO YA YANGA FC..!
kwa maana nyingine tunapohitaji kusajili mchezaji wenu yeyote si suala la kushindana... Bali ni pesa zinaletwa mkononi zikiambatana na karatasi ya kusaini...!
Hivi kwa nini Msuva na kukurukakara zote, hajawahi kuifunga simba na kiwango chake yanga ikicheza na simba huwa cha chini sana????? hata assist nusu hajawahi.
Msiva ndio kila.kitu kwa sasa tanzania.amefunga magoli 17 hadi saaasa na akifuatiwa na tambwe kwa ubora tanzania nzima .wote thamani zao ni mil 700 japo tambwe ni 500 mil.
Huyo okwi wenu hata du sahel hapati namba alienda majaribio wakamuona kimeo wakamtema na huyo sserunkuma (au mrisho mpoto) hilo.jina lake naogopa kulitaja nikiwa na mkwe wangu ni magusi.
Nilijua na wewe unaufutilia vizur mpira wa miguu kumbe na wewe ni wale wale tu!!!Msuva anayekatika viuno hapa mbele ya wanaume wa Msimbazi aliifunga Simba lini? Naomba mwanamke wetu anayejiamini ajibu swali hili.
Msuva analipwa na Yanga Fc ili aweze kusaidia timu ipate ubingwa, na hilo ameshalifanya....!
Simba sc ni kama mbeya city, ndanda Fc, Mgambo, au police moro.
Hivyo basi si kusema akiifunga simba Sc basi Yanga Fc itapewa point Nne 4.
Simba haiwezi kununua tutusa kama Msuva kwa bei hiyo.
Hilo lina hadhi ya kuchezea vilabu kama Ndanda vinavyofungwa nyumbani na ugenini kama yanga mbele ya Mnyama Mkali.
Bado vichwa vya mashaniki wengi wa Yanga vinamatatizo. Sitoshangaa wakiambiwa Abbas Gulamali atakuwa mgeni rasmi watakubali na kukusanyika. Ni wakuwaonea huruma
Simba haiwezi kununua tutusa kama Msuva kwa bei hiyo.
Hilo lina hadhi ya kuchezea vilabu kama Ndanda vinavyofungwa nyumbani na ugenini kama yanga mbele ya Mnyama Mkali.
Mbona mlienda kukopa CRDB Bank pesa ili mununue litutusa la kiganda lililotokea Kenya.
Mrisho mpoto aka Sserenkuma ni Galasa hata kikosi cha mbeya city B awezi pata namba.
Simba wametangaza kufilisika?