Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

delako kama kweli ni mshabiki wa mpira unashangaa nini msuva kuuzwa bei hyo Leo. Je unakumbuka okwi aliuzwa bei gani na alitokea wapi au sammata unajua ni bei gani na ni mbongo tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama gaka okwi alikopeshwa kwa 350ml.kwa fundi,goal man msuva ml700 ana thamani hiyo kabisa..viti maalum sc watoe tu hiyo ml700.
 
Wapo katika hali duni ya kufilisika alafu wanakwambia wanamtaka Msuva....!
Wakati Yanga Fc ikiwa mtaani kutafuta wachezaji... kwa ajili ya michuano ya kimataifa.

Haya sasa na watoe hiyo fedha ili tujue kama wako serious.
 
Kama huyo Bakhresa ana hela ya kufanyia mchezo kiasi hicho kwanin msimu uliopita wa usajili alishindwa kumsainisha kijana kutoka Mali anaekipiga El marreick ya Sudan Ahmad Traore!!!
Mwambie huyo bakheresa wako afike hilo dau kama hatumpi msuva?!!!!!

anao walio bora kuliko Msuva hivyo hana haja na yeye
 
Simba sio ya kuchukua makapi na magarasa ya Yanga. Yanga ndio inayojengwa kwa kutumia makapi na magarasa ya Simba. Na ndiyo maana wakikutana na Mnyama hawafurukuti watabakia kung'ara kwa kununua mechi na vitimu vingine vyote lakini kamwe hawataifunga Simba wala kung'ara mbele yake.
Okwi wa kimataifa anang'ara kila mechi kila mwaka na pamoja na hayo anaitungua Yeboyebo kwa staili anayoitaka yeye huyo ndiye mchezaji bora.
 
Makapi yalio chukua UBINGWA.....!

Makapi yanayowakilisha utaifa wako......!

Sserenkuma Danny ni KAPI ambalo halijawahi kutokea Tanzania.
 
Hata Yanga Fc ikishindwa kupata matokeo huko Tunisia bado wana nafasi hiyo tena mwakani.

Mtabakia kupanda maboti ya BAKHRESAH kwenda kambi Zanzibar ili kumstopisha Yanga Fc.
 
Makapi yalio chukua UBINGWA.....!

Makapi yanayowakilisha utaifa wako......!

Sserenkuma Danny ni KAPI ambalo halijawahi kutokea Tanzania.

kisicho chako huwezi kukijua uzuri wake.
Kwanza subiti muone warabu watachowafanya huko kwao ndio mtakuwa na adabu
 
Adabu ya Nini wakati mimi ninaheshima hapa nyumba baada ya kunyanyua Kombe la UBINGWA...!

Michuano ya kimataifa ni kama sebuleni kwangu. Naingia na kutoka wakati wowote....!

Ni lini simba Sc imecheza mchezo wa kimataifa wa kiushindani (sio wa kirafiki l....?
 
Simba sio ya kuchukua makapi na magarasa ya Yanga. Yanga ndio inayojengwa kwa kutumia makapi na magarasa ya Simba. Na ndiyo maana wakikutana na Mnyama hawafurukuti watabakia kung'ara kwa kununua mechi na vitimu vingine vyote lakini kamwe hawataifunga Simba wala kung'ara mbele yake.
Okwi wa kimataifa anang'ara kila mechi kila mwaka na pamoja na hayo anaitungua Yeboyebo kwa staili anayoitaka yeye huyo ndiye mchezaji bora.

simba ndio waliochukua garasa okwi ambae amewasaidia hadi kuchukua nafasi ya tatu.kutoka nafas ya nne ya msimu uliopita.halaf suala la kusema okwi wa kimataifa unajidhalilisha,ukimataifa huo anaupata wapi wakati timu ya taifa UG haitwi?okwi ni wa ndondo cup.wakimataifa wapo tunisia huko wanapasha misuli.
 
Maneno tu haya,hapo yanga waseme tu huyo msuva hauzwi kwa sasa ieleweke
 
Adabu ya Nini wakati mimi ninaheshima hapa nyumba baada ya kunyanyua Kombe la UBINGWA...!

Michuano ya kimataifa ni kama sebuleni kwangu. Naingia na kutoka wakati wowote....!

Ni lini simba Sc imecheza mchezo wa kimataifa wa kiushindani (sio wa kirafiki l....?

Heshima ni kuchukua ubingwa kwa kumfunga mtani wako bao 5 kwa bila. Ubingwa gani huo wa kunyukwa na Mtani wako mwaka wa 3 mfululizo. Ndio maana watu wanauita ubingwa wa Mpesa utanunua mechi zote ya Simba kichapo tu.
Okwiiiiiiiiii
 
simba ndio waliochukua garasa okwi ambae amewasaidia hadi kuchukua nafasi ya tatu.kutoka nafas ya nne ya msimu uliopita.halaf suala la kusema okwi wa kimataifa unajidhalilisha,ukimataifa huo anaupata wapi wakati timu ya taifa UG haitwi?okwi ni wa ndondo cup.wakimataifa wapo tunisia huko wanapasha misuli.

Huyo Msuva anachezea au ameshawahi kuchezea timu gani ya Taifa? Unachekesha umma kweli kweli. Ataishia kufunga kwenye mechi za kununua beki anajifanya kateleza ili Msuva afunge au kama yale ya kipa wa mbeya city mpaka sasa amefungiwa kisa yanga.
 
Heshima ni kuchukua ubingwa kwa kumfunga mtani wako bao 5 kwa bila. Ubingwa gani huo wa kunyukwa na Mtani wako mwaka wa 3 mfululizo. Ndio maana watu wanauita ubingwa wa Mpesa utanunua mechi zote ya Simba kichapo tu.
Okwiiiiiiiiii

Hahahaha! Yanga Fc haijiandai kwa ajili ya timu moja....!

Tunajiandaa kwa ajili ya Msimu mzima, ndio maana hatujali matokeo mabaya ya aina yeyote. Lengo ni kubeba NDOO tu.....!

Katufunga mtibwa sembuse wewe wa MCHANGANI...!

Ebu jiandaeni kuchangia Klabu yenu kupitia M-pesa (0736-452-959)ili zifike million 700/= za kununua Msuva......!
 
Back
Top Bottom