Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,972
Reaction score
168,468
Wapendwa,

Tunamshukuru Mungu kwa uhai huu ambao leo kimekuwa ni kitu adimu zaidi hasa kutokana na uwepo wa makali ya Coronavirus.

Leo napenda nijuzwe thamani ya Rais ni sawa na wananchi wangapi?

Najua msafara wa Rais ni muhimu kuliko mgonjwa kwenye ambulance, ndiyo maana Rais akiwa anapita hata ambulance, magari ya zimamoto na mengine ya uokoaji wa uhai wa mwanadamu husimamishwa hadi Rais apite.

Kuna nchi watu hufanya maandamano ili Rais atoke, waandamaji wakiuliwa sana Rais huondoka ikulu.

Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.

Hivi mtu huyu mmoja thamani yake ni sawa na wananchi wangapi? Naombeni jibu ASAP
 
Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Kwahiyo kikore unakazia rais ni sawa na watu wa mkoa mzima?
Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.
Hivi mtu huyu mmoja thamani Yake ni sawa na wananchi wangapi?.
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.

Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.

Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1, anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.

P
 
Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
Mkuu Mshana, this cannot be true, huu utakuwa ni uongo na na uzushi!.
P
 
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.

Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1,anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.

P
Hilo gari ambalo liko fully equipped ni kubwa kiasi gani Cha kuweza kubeba mashine zote za afya?
 
Back
Top Bottom