Naamini kama waziri akienda kuomba msaada Balozi za South Korea, Japan , USA mara moja ventilators zitaletwa, wenzetu uzalishaji umezidi matumizi.
China siungi mkono hasa baada ya test kits zao kuleta majibu ya uongo.
Pengine waziri atasikia ushauri wetu na kufanyia kazi.
Nimeona na vyuo vikuu vya Cameroon wameanza kutengeneza ventilators, labda na vyuo vya Tz waombe ushauri wa kitaalamu kwa walioweza ili zizalishwe hapa.