Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Wapendwa,

Tunamshukuru Mungu kwa uhai huu ambao Leo kimekuwa ni kitu adimu zaidi hasa kutokana na uwepo wa makali ya Coronavirus.

Leo napenda nijuzwe thamani ya Rais ni sawa na wananchi wangapi?

Najua msafara wa Rais ni muhimu kuliko mgonjwa kwenye ambulance, ndio maana Rais akiwa anapita hata ambulance, magari ya zimamoto na mengine ya uokoaji wa uhai was mwanadamu husimamishwa hadi Rais apite.

Kuna nchi watu hufanya maandamano ili Rais atoke, waandamaji wakiuliwa sana Rais huondoka ikulu.

Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.

Hivi mtu huyu mmoja thamani Yake ni sawa na wananchi wangapi? Naombeni jibu ASAP
Africa ukishapewa uraisi means nchi ni Mali yako binafsi na wapambe wako
 
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.

Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.

Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1,anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.

P
"Kufuatia kutumia Implant"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nchi ya Zimbabwe ilikuwa na Ventilator 7 tu.

Sijui Tanzania tuna ngapi,lakini kama Bugando hospital no 2 or no 3 kwa ukubwa Tanzania kuwa ina ventilator mmoja ni wazi ventilators are rare commodity kwenye hospital zetu.

Japo sijui Ambulance ya escorts ya Raisi sijui utaratibu ukoje.Kwani kuna wakati Raisi anapanda ndege zetu hadi pale Chato Airport,Je katika hali kama hiyo anakuwa na Ventilator kwenye ndege na nyingine standby Chato residence?

Usisahau Raisi uwa anasafiri na wasaidizi wake wengi tu.Kama Paskali anavyodai kuwa escort ambulance ya Raisi ni full masinondo, but by how much?

Raisi ana mke na watoto wake je kama kuna shortage ya Ventilator, unafikiri Raisi atalivaa hilo dude yeye amwache mkewe?
 
Haya mambo yanachanganya sana kaka

Jr[emoji769]
Mkuu mshana haya mambo hayachanganyi bali kinachochanganya ni ushabiki wa awamu hii.

Kama siyo kuwatisha wakatishika basi jamaa atakuwa mchawi namba. Moja nchi hii.
Maana watu kama Mayalla wanaonekana wasomi, wanaonekana wamestaarabika lakini mbele ya mheshimiwa ni mapimbi tu

Watu kama Nape, January makamba, ukiwaona ni watu wenye elimu zao, ustaarabu, good confidence lakini mbele ya mheshimiwa ni ndezi tu wa kukamatwa na mbwa koko tu.

Ukweli wanauona lakini fahamu zao zimeharibiwa kabisa na madawa ya bashite.

Ivi mkuu mshana, wewe huoni mwenye kauli nchi hii ni watu wawili tu,
Bwana yule na bashite?

Kina Pm, Nape, makamba, bashiru, marc wote, hana nguvu ktk nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.

Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.

Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1,anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.

P
He's not, only Allah Ndio wa kuamua uishi au usiishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua msafara wa Rais ni muhimu kuliko mgonjwa kwenye ambulance, ndio maana Rais akiwa anapita hata ambulance, magari ya zimamoto na mengine ya uokoaji wa uhai was mwanadamu husimamishwa hadi Rais apite.
Hii ni kwa nchi za kishenzi, shitholes, kama za kiafrika, Asia and latin america.
 
Naamini kama waziri akienda kuomba msaada Balozi za South Korea, Japan , USA mara moja ventilators zitaletwa, wenzetu uzalishaji umezidi matumizi.

China siungi mkono hasa baada ya test kits zao kuleta majibu ya uongo.

Pengine waziri atasikia ushauri wetu na kufanyia kazi.

Nimeona na vyuo vikuu vya Cameroon wameanza kutengeneza ventilators, labda na vyuo vya Tz waombe ushauri wa kitaalamu kwa walioweza ili zizalishwe hapa.
Hatuwezi kuwaomba mabeberu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rais mwingine duniani aliyepata wazo la kutest corona kwenye mapapai?
.
FB_IMG_1589183459561.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.

Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.

Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1, anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.

P
Haya ndyo majibu yanayotakiwa yanakuwa na hoja nzito bila matusi.

Tanzania hamna habari za uchaguzi, waandishi badala ya kuwa wadadisi mmekuwa wapingaji na watetezi was Baya linalofanywa na mamlaka ya juu.
Usikimbulie kupinga na kuita uongo na uzushi Jambo ambalo hujalichunguza.
Itumie JamiiForums kama source ya kuanzia uchunguzi was kile unachokiona ni uzushi
 
Kuna vitu vingine kusema ukweli, ukivisikia tu, huhitaji hata kujiuliza mara mbilimbili, you just dismiss them. unajua tuu kabisa, huu ni uongo na uzushi wa kipuuzi kwasababu, it doesn't make any sense at all.
P
Meko anajaki familia yake na ndugu zake zaidi ndo maana kawapalekea Ventilator mzee wewe pambanaa tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom