Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Wewe jiandae kwenda kuhojiwa, raisi anatembea na hospitali full equiped?? Na anaINPLANT wapi??

Wewe uwe makini, watakuSAA8 sasa ivi
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.

Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.

Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1, anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa,

Tunamshukuru Mungu kwa uhai huu ambao leo kimekuwa ni kitu adimu zaidi hasa kutokana na uwepo wa makali ya Coronavirus.

Leo napenda nijuzwe thamani ya Rais ni sawa na wananchi wangapi?

Najua msafara wa Rais ni muhimu kuliko mgonjwa kwenye ambulance, ndiyo maana Rais akiwa anapita hata ambulance, magari ya zimamoto na mengine ya uokoaji wa uhai wa mwanadamu husimamishwa hadi Rais apite.

Kuna nchi watu hufanya maandamano ili Rais atoke, waandamaji wakiuliwa sana Rais huondoka ikulu.

Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.

Hivi mtu huyu mmoja thamani yake ni sawa na wananchi wangapi? Naombeni jibu ASAP
Based on title, NI UFIPA WOTE!
 
Mkuu Mshana, this cannot be true, huu utakuwa ni uongo na na uzushi!.
P
Siwez kukataa wala kukubali, muhula wa utawala huu lolote laweza kutokea, maana kuna sehemu nimeshudia mkuu mmoja anajengewa lain yenye msongi mkubwa peke yake ma kilometa kadhaa umeme upelekwe kwenye ranchi yake huku hakuna raia anayeruhusuwa kuunganishiwa umeme hapo wakati huo RAIA wengine wanaomba umeme wanaambiwa hamna nguzo wala nyanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom