Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.

Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1,anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.

P

Kama akifa leo nini kitatokea?
 
Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.
 
Kuna rais mwingine duniani aliyepata wazo la kutest corona kwenye mapapai?
LOoh, jameni.
Taratibu basi..., hii ni kasi ya kutisha!
Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
Hapana, hatuwezi kufika huku.
Si angeagiza tu mpya zikanunuliwe na kuletwa ndani ya masaa 24?

Kuna mambo yanakuwa 'too outlandish to be true.' It simply does not make sense!
 
Amezaliwa
Anakula
Anacheza
Anaumwa
Anachoka
Anaogopa korona
Analipwa mshahara
Anakoseaa

Tofauti ya Rais ni sawa na raia wote na yeye akiwemo
 
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.
Inawezekana ukawa umesahau kutaja mahitaji mengine mhimu yanayopaswa kuwemo kwenye msafara huo. Kama hayapo, basi acha tuwakumbushe, au tumkumbushe yeye mhusika.

Juzi tu tumekuwa na sala tatu taifa zima. Mtu mhimu kama yeye atakosa uwepo wa Bishop, na ingependeza zaidi kama pangekuwepo na Kardinari kabisa ili kumkingia usalama mtu huyu mhimu zaidi kuliko binaadam wote tuliomo kwenye taifa hili.

Fikisha ujumbe mkuu P.
 
Bujibuji tangu tupate uhuru kwa mara ya kwanza tume pata rais mwenye PhD, hakuiokota barabarani acha ajimwambafai.
Kama PhD yake ni ya ukweli kwa nini alimuua Ben Saanane? Na kwa nini sasa hivi andiko lake la PhD haiko kwenye maktaba za UDSM?
 
Back
Top Bottom