Thamani ya Kiswahili: Watu maarufu duniani wenye majina ya Kiswahili

Kuna mchezaji mmoja alikuwa EPL sijui kama mpaka sasa yupo anaitwa Lugano...neno la kinyakyusa likimaanisha upendo
Diego Lugano ni Mrugwai (Uruguayan) huyu bwana. Ni taifa moja na Luis Suarez na Edinson Cavani, nadhani kwa sasa hachezi soka la kimataifa (ametundika daruga)
 
Salamu za bibi ni baraka
Huyu bibi kiumri ila kimatendo ni binti kigori.

Kawaida mtu akiwa anazeeka anarudi katika hali ya utoto.

Hivi unajiuliza anakuwaje bibi kabisa ana mtaja kijana mdogo wa kuweza kumzaa katika hali hii, kwamba jina "Zurri" analinganisha na jina "Zuri" ,huyu bibi ana jambo analitafuta toka kwangu. Ila nampa udhuru.

Lakini, ukitazama alikuwa hana haja ya kunitaja kabisa katika huu uzi, sasa sijui anataka nini toka kwangu. Itabidi nimfungie safari mpaka PM nimuulize nini cha mno bibi ?
 
Talib kweli alinifikirisha sana...nilifikiri ana asili ya Tanzania,kumbe ni jina
tu ..pamoja sana.
 
Black Americans wanapenda sana Kiswahili, unaweza kushangaa. Kuna jamaa nilimkuta Seattle anajiita "Askari Bora"...Nilishangaa.
 
Huyu bibi kiumri ila kimatendo ni binti kigori.

Kawaida mtu akiwa anazeeka anarudi katika hali ya utoto.

Hivi unajiuliza anakuwaje bibi kabisa ana mtaja kijana mdogo wa kuweza kumzaa katika hali hii, kwamba jina "Zurri" analinganisha na jina "Zuri" ,huyu bibi ana jambo analitafuta toka kwangu. Ila nampa udhuru.

Lakini, ukitazama alikuwa hana haja ya kunitaja kabisa katika huu uzi, sasa sijui anataka nini toka kwangu. Itabidi nimfungie safari mpaka PM nimuulize nini cha mno bibi ?
Wote tumeelewa.

Binti anaitwa si I wewe kijana wa "kiume" kujiita Zurri.

Kuna siri tena hapo au cha ajabu?

Hapo pole Kwa wazazi tu.
 
10. Hodari Sababu: Huyu ni Baba wa Kambo WA Rapper The Game.

Wamarekani weusi wengi wana majina ya Kiswahili sema wengi sio maarufu.

Wamarekani weusi wengi Wana amini Kiswahili ndio lugha inayo litambulisha bara la Afrika.

Tupac in 1996 katika wimbo wake " Troublesome 96" anasikika akighani " Fvck all y'all niggas in Swahili (Hapa alimaanisha Ku....yo/ au mn....bwa)

Kuna movie moja ya mablack ilitoka miaka ya tisini kuna dada mmoja wa gheto alikuwa na watoto kama sita hivi wote kila mmoja na Baba ake basi Dogo mmoja akamuelewa huyo singo Maza sasa wakati anamuuliza jina huyo Maza akasema " My name is (jina nimesahau) a Swahili for Doggystyle)

images.jpeg-44.jpg
 
Back
Top Bottom