Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,833
- 979
Mungu amlinde Rais wetu, viongozi wenzake na watanzania kwa ujumla
Kwa hayo Hongera Rais wetu. La pili ukifanikiwa kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na wa haki bila vyama kuibiana kura utapata bonge ya sifa. Ninakutakia kila heri kwa kipindi chako cha pili na kuna uwezekano pia kama kijani wakiwa wengi wakakuomba kuendelea na ngwe nyingine.
###########Napitatu########TENA MAANDIKO YANASEMA
Mathayo : Mlango 7
6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
Ha ha ha ha ha
Mitano kwa Jiwe INATOSHA. Kwa miaka hii mitano tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hizo ni zaidi ya wizi wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tulipopata uhuru, ujasiri wa kupamba na kusifu MHALIFU wa kiwango hicho unautoa wapi Mkuu?Wa kupinga kila kitu wakisikia hii wanaumia saaaanaaaa
Mitano kwa Jiwe INATOSHA. Kwa miaka hii mitano tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hizo ni zaidi ya wizi wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tulipopata uhuru, ujasiri wa kupamba na kusifu MHALIFU wa kiwango hicho unautoa wapi Mkuu?
Mkuu wewe ndiye upo babati na ndiye unaweza kutueleza kwa kinagaubaga mh kuhusu huo utajiri!Ole Mushi tuambie Mnyeti alitoa wapi utajiri wa ghafla akiwa RC Manyara?
We hujui kajenga uwanja wa bilioni zaidi ya 1 ambapo Yanga na Simba wameshindwa?Thibitisha pasi.kuacha shaka utajiri wake ,kama sio majungu
Now nipo SimanjiroMkuu wewe ndiye upo babati na ndiye unaweza kutueleza kwa kinagaubaga mh kuhusu huo utajiri!
Ndiyo huko huko Manyara mkuu, funguka tu usiogope.Now nipo Simanjiro