Thadei Ole Mushi: Ukuta wa Mirerani unavyomkera jirani

Thadei Ole Mushi: Ukuta wa Mirerani unavyomkera jirani

Juzi alipokuwa akihutubia wananchi Morogoro kwenye hafla ya uwekaji mawe ya msingi mahandaki ya sgr alichomekea kauli kwamba light ule ukuta ungejengwa tangu mwaka 1965 tngekua tumefikia wapi saivi,mi tangu siku ile ndo nimemuelewa mazima
Eti unasemaje mkuu? Haaahaaa ila hii nchi ilikua inaendeshwa kwa propaganda sana.
 
Wewe inaonekana ulikuwa unatorosha madini sasa umebanwa.
Kama wewe ni.mtanzania basi ni bora ungeondoka na corona tu, kubaki kwako katika nchi ni hasara tu.
Ila kama wewe ni mkenya basi tunakupa pole maana ulizoea vya kunyonga, sasa vipo vya kuchinja.
Mkuu umebadili ID au utaridi kukana ulichoandika
 
Eti unasemaje mkuu? Haaahaaa ila hii nchi ilikua inaendeshwa kwa propaganda sana.

Nilikuwa namsikiliza Mh Rais Samia nijua nimemsikia vibaya ,tuliaminshwa kwamba ujenzi wa ukuta umeondoa kabisa wizi wa madini ,lakini SSH ametamka wazi pamoja na kujengwa ukuta na kuweka wanajeshi bado watu wanapiga madini kama kawaida.
 
Hii inaonesha wizi Tanzania ulikiwa umefikia point of no return. Kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi.Kama mpaka kitalu "C" Mererani kinapigwa!.. hali ni tete sana.
 
Hii inaonesha wizi Tanzania ulikiwa umefikia point of no return. Kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi.Kama mpaka kitalu "C" Mererani kinapigwa!.. hali ni tete sana.
Mkuu kwa faida ya wengi.... Kitalu C kinamilikiwa na nani kisheria? Kwanini wanazuia kisigawiwe kwa watu?
 
Nilikuwa namsikiliza Mh Rais Samia nijua nimemsikia vibaya ,tuliaminshwa kwamba ujenzi wa ukuta umeondoa kabisa wizi wa madini ,lakini SSH ametamka wazi pamoja na kujengwa ukuta na kuweka wanajeshi bado watu wanapiga madini kama kawaida.
Mmelishwa matango pori,mama mkurupukaji
 
Ni baada ya frustration za kuikosa hii biashara wakenya kwa kushirikiana na bavicha wakazusha ukuta unalindwa na jeshi la rwanda[emoji3][emoji38]. Wakaenda mbali zaidi kwamba kuna ndege inaondoka na shehena ya Tanzanite pale KIA kila wiki kuelekea kigali. Saizi dawa imewaingia akili zimekaa sawa.
JPM nidai kura 100 kwa uliyoyafanya katika sekta ya madini
Hizo kura 100 kamuwekee kaburini kwake bado anazihitaji sana huko ahera
 
Mmelishwa matango pori,mama mkurupukaji

Najua wewe ni mdau wa madini(Mwana apollo) ebu declare kwanza interest mkuu.

Ili swala linahitaji more confirmation siwezi kukupinga au kukubali hoja ya kwamba hakuna wizi au upo...Panahitajika uchunguzi ufanywe na ripoti yake kutoka(Ni kama kipindi cha Radio One - Uchunguzi kamili).
 
Nilikuwa namsikiliza Mh Rais Samia nijua nimemsikia vibaya ,tuliaminshwa kwamba ujenzi wa ukuta umeondoa kabisa wizi wa madini ,lakini SSH ametamka wazi pamoja na kujengwa ukuta na kuweka wanajeshi bado watu wanapiga madini kama kawaida.
Na ndio maan akasema vyombo vya habali vifunguliwe mkashangili lakini sijui kama mtafata sheria,nadhani bado mtarudi selo tu maaana mna vichwa vigumu.
 
Na ndio maan akasema vyombo vya habali vifunguliwe mkashangili lakini sijui kama mtafata sheria,nadhani bado mtarudi selo tu maaana mna vichwa vigumu.

Sijakuelewa mkuu jibu lako au wrong quote?
 
Back
Top Bottom