secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Wamekaa miaka kibao ndio juzi wamerudisha hayo madini ili kujikosha!!?Hv kuna madin Kenya walizirejeshaga hapa tanzani cjui Ni dhahabu ama tanzanite ila yalikuwa yanatoroshwa ila serekali ya Kenya ikazikamata na kumlete jpm hapo magogini sas kipind hiki tena naona wamenuna kisa ukutu
wanafiki wale mabwana...
uzuli JPM anawajulia...
wakiruka juu anaruka nao....
wakitambaa anatambaa nao
big up sana JPM...