Kama tutaongeza pato la madini na madini yakawa ndio muhimili wa uchumi wa Tanzania by far,basi tutafanya matakwa ya Mzee Ruksa.Atake Asitake Mpaka Afie Kwenye Kiti
😀😁
Jirani Atajijua Mwenyewe
Acha Tuone!!Kama tutaongeza pato la madini na madini yakawa ndio muhimili wa uchumi wa Tanzania by far,basi tutafanya matakwa ya Mzee Ruksa.
Botswana waliweza ni kuvua ujinga na kuvaa ujasiri wa King DavidAcha Tuone!!
Halafu ma CDM bado yanahangaika na mbwatukaji.Wa kupinga kila kitu wakisikia hii wanaumia saaaanaaaa
Baba J anatuonyesha namna gani kiongozi wa nchi anatakiwa awe.
Msimamo l Weledi l Umakini
Go Baba J Go Bana we are all supporting you...
Jirani bado anaajira nyingi sana nchini term ya pili angalia namna gani tunavyoweza kuwaondoa;
1. Walimu wa hizi English Medium
2. Advertising Agencies
3. Managers wa Mahotel
4. CEO wa makampuni
5. Wawekezaji uchwara
TunatekelezaBotswana waliweza ni kuvua ujinga na kuvaa ujasiri wa King David
Kuwa na Taasisi imara bila kuwa na nyenzo sa kufanyia kazi ni sawa na bure. Kinachofanywa na Rais wetu ni kuimarisha nyezo za taasisi ili hiyo Taasisi iwe imara.taasisi imara na huru
Kwa kweli katika hili, Magufuli amefanya jambo kubwa sn kwa nchi. Pia nampongezakwa kuendela kuwadhibiti hao wakenya kwa chokochoko zao za kila siku. Wao wanafunga mipaka, na sisi tukifunga wanaanza kulialia. Baada ya miaka 6 ijayo tunawapiga gap kubwa.
Hii ya madini imekaa kizalendo sana, JPM ni bonge la kiongozi, ni hivi tu vijimambo mambo vyake vya chuki na udikteta vinavyowakera wengi. Haya yote anaweza kuyafanya bila kuminya haki za wengine
Watanzania kweli wajinga hata biashara ya msingi hatujui ndo maana Machinga na Mama ntilie wanaitwa wafanya biashara sawa na akina Mo Dewji, Bakhressa, Mengi (RIP) na wengine. Mkulima akilima chakula anauza akikosa mnunuzi anakula mwenyewe na watoto wake au hata anampa jirani yake mwenye uhitaji maana leo kwangu kesho kwake. Mchimba madini, Laizer, Williamson Diamond, Barrick Gold Mines nk wanatumiaje bidhaa zao hizo? Kwa kuwa ni bidhaa wanamuuzia nani na wakati gani ili gharama zao zirudi? Wakikosa mnunuzi wakampa jirani atafanya nayo nini ili ada ya shule ya watoto ipatikane na mahitaji mengine muhimu ya familia au ya wafanyakazi? Bank Kuu iliwahi kupewa jukumu la kununua madini yote nchini lakini kama madawa ya kulevya yalivyogeuka unga wa muhogo yakiwa mikononi mwa Polisi ndivyo madini yalipotelea Bank bila wananchi kuambiwa kilichotokea. Laizer akimuuzia Njoroge nae akamuuzia Patel wa Mumbai na akamuuzia sonara Takashi wa Tokyo shida iko wapi? Si kweli Takashi wa Japan amenunua Tanzanite toka kwa Patel wa India?