Thadei Ole Mushi; The Hero of Freethinking

Anaonekana Pombe ilikula Inni naziona dalili zote.
 
Uzi mzuri sana
 
Kula yule suijui anajiita Malisa ameharibiwa na lugha ya matusi anayotumia
 
SSa

Kumfananisha Thadei na Mwashambwa ni kumkosea Thadei, tofauti yao kubwa ni kwamba Thadei alitoa hoja kutoka Central Nervous System lakini huyu mwingine anatumia digestive system
 
Aliniudhi kudhihaki waliopigwa risasi,kutekwa na kupotezwa, akasahau kwamba sheitwan Hanaga RAFIKI[emoji4]
Hii ni contradiction, Wewe ni mfuasi kindakindaki na shabiki wa kutupwa wa Putin
 
Gilbert Masawe dhambi uliyofanya kumuua Thadei Ole Mushi kwa kumlisha sumu itakutafuna daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…