Thadei Kweka aachiwa huru

Mfano Balile sasa hivi kawa chawa wa ajabu, lakini juzi anajiliza gazeti linakumbwa na hali mbaya ya kifedha.
Wananchi wakigundua kuwa gazeti ni la chawa fulani, kama hilo JAMHURI la chawa Balile, kwisha habari yake. Labda auzie machawa wenzie
 
Woga wa mmrekani maana ubalozi walijua waachie tamko
 
Nadhani kuna namna CIA inabidi irudi enzi zake. Zamani nilikuwa sielewi mission zao ila nimekuja kugundua Africa ina viongozi washenzi sana.
 
Kabisa mkuu ,imagine Tanzania hii ndio ya kupoteza watu elfu kumi kisa kulinda maslahi ya kahaba mmoja mvaa maushungi na hawara yake na vibaraka wao , yaani uhai wa mtu ha u na thamani nchi hii chini ya hawa vibaka
 
Nadhani kuna namna CIA inabidi irudi enzi zake. Zamani nilikuwa sielewi mission zao ila nimekuja kugundua Africa ina viongozi washenzi sana.
Sana ,yaani mmarekani na mapungufu yake ila ukiranja wa Ku deal na hawa sokwe watu wanaojiita viongozi Africa aisee mara elfu uendelee tu kuwapo, binadamu mweusi ni katili Sana na mnyama Kabisa ,yaani mpaka Leo siamini ushenzi uliofanywa na hawa mbwa ccm na vijakazi wao wa kuitwa vyombo vya ulinzi na usalama , kuua watu 10000 with impunity na bado mnarudi na kejeli + no shame / remorse what so ever ................Hii ni level ya ukatili ambayo sijawahi shuhudia Kabisa na sikudhani Kama kuna mtanzania anaweza kuwa na roho mbaya ya kishenzi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…