Tgif

Likuyuseka

Member
Feb 14, 2011
50
42
Nakumbuka ahadi....ahadi za mdingi....
  1. kwamba atatoa ajira milioni
  2. kwamba tatizo la stima litakua la historia
Sasa nimeanza kukua.....na hivi ndivyo ninavyoelewa maana ya ahadi ya mdingi
  1. Atatoa ajira = atapunguza ajira milioni (kutoa maana yake ni kupunguza au deduct)
  2. Kweli tatizo la stima ni historia.....ni kubwa....ni sawa na njaa ya mwaka 74 na 84....ni historia
Its only a chit chat....nawashukuru TBL/SBL&Distillers wetu.....angalau leo ni ijumaa.....
Biya....biya...mgao....biya.....
Ok....biya...nina cha kufurahia leo...biya....tilalila...biya...

Ijumaa njema wakuu....enjoy*responsibly!

BIYA - TGIF
 
Back
Top Bottom