hapana sio yeye mkuu, huyu yeye kaeleza ya moyoni tuWe sio Uto kweli?...... Wazee wa lawama
Aiseeendio vizuri mechi zote zionyeshwe, tena inatakiwa zianze saa 4 asubuhi
wanadai sababu za kibiashara.Wakasemaje sasa
Sijawah kuona Wala kusikia Simba na Yanga wakicheza saa nane😰😰😰Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.
Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi?
Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini tusirudishe mechi za kati kati ya wiki yaani Jumatano? lakini suala la kufungia viwanja baada ya mechi kuchezwa huu ni ujinga wa kiwango cha lami! ina maana hakuna ukaguzi unaofanyika kabla ya kuidhinisha viwanja hivi?
Haya kwa sasa timu zinacheza weekend hadi wekeend lakini michuano ya kimataifa ikifika kwa Simba na Namungo ndipo tutaona maajabu ya kucheza baada ya siku moja.
Kwa maoni yangu hapa kuna hujuma isiyo ya kawaida inafanyika.
Saa 8 muda wa kazi mnamuwekea nani mechi? Kumfurahisha nani?
Tifua wote in mikia tu!Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.
Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi?
Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini tusirudishe mechi za kati kati ya wiki yaani Jumatano? lakini suala la kufungia viwanja baada ya mechi kuchezwa huu ni ujinga wa kiwango cha lami! ina maana hakuna ukaguzi unaofanyika kabla ya kuidhinisha viwanja hivi?
Haya kwa sasa timu zinacheza weekend hadi wekeend lakini michuano ya kimataifa ikifika kwa Simba na Namungo ndipo tutaona maajabu ya kucheza baada ya siku moja.
Kwa maoni yangu hapa kuna hujuma isiyo ya kawaida inafanyika.
Saa 8 muda wa kazi mnamuwekea nani mechi? Kumfurahisha nani?
Hawawezi kukupa majibu yoyote ya kueleweka zaidi utaitwa wewe siyo mzarendoKwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.
Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi?
Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini tusirudishe mechi za kati kati ya wiki yaani Jumatano? lakini suala la kufungia viwanja baada ya mechi kuchezwa huu ni ujinga wa kiwango cha lami! ina maana hakuna ukaguzi unaofanyika kabla ya kuidhinisha viwanja hivi?
Haya kwa sasa timu zinacheza weekend hadi wekeend lakini michuano ya kimataifa ikifika kwa Simba na Namungo ndipo tutaona maajabu ya kucheza baada ya siku moja.
Kwa maoni yangu hapa kuna hujuma isiyo ya kawaida inafanyika.
Saa 8 muda wa kazi mnamuwekea nani mechi? Kumfurahisha nani?
😂😂😂Hizi bangi mnazovutia magetho Ni hatari sanaAcheni ulalamishi kwa kila jambo, nendeni mkapime Vidonda vya tumbo najua wengi mnajikuta tu mmekuwa walalamishi na hamaki nawambieni Vidonda vya tumbo hizo ndio dalili zake kuu. Kama hamtaki ushauri huuu mtaishia kupatwa Kansa ya Utumbo.
Hili jibu ndiyo lenyewe kabisaukifikiri Sana kuhusu soka la bongo utaishia kuumiza kichwa chako walipo pale TFF akuna anae jielewa
Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.