CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,919
Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali.
Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8 bila kucheza. Ulazima huu wa saa 8 unatokea wapi?
Kama ni suala la mechi zote kuonyeshwa kwanini tusirudishe mechi za kati kati ya wiki yaani Jumatano? lakini suala la kufungia viwanja baada ya mechi kuchezwa huu ni ujinga wa kiwango cha lami! ina maana hakuna ukaguzi unaofanyika kabla ya kuidhinisha viwanja hivi?
Haya kwa sasa timu zinacheza weekend hadi wekeend lakini michuano ya kimataifa ikifika kwa Simba na Namungo ndipo tutaona maajabu ya kucheza baada ya siku moja.
Kwa maoni yangu hapa kuna hujuma isiyo ya kawaida inafanyika.
Saa 8 muda wa kazi mnamuwekea nani mechi? Kumfurahisha nani?