Udini ni mtizamo wa mtu, la msingi hao watu wana sifa za kuwa hicho alichowateulia?Nsingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia.
Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya viongozi, anarudia tatizo lile lile. Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi. Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
Muache Rais afanye kazi wewée, Mbona Magufuli baraza lake loote waislamu walikuwa watatu tu Uliongea kituNsingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF.
Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais Samia aanze uteuzi wa viongozi, kwa kuondoa timu aliyoirithi kutoka kwa hayati Magufuli, nimekuwa nikifuatilia teuzi zake nimegundua ziko biased kwa misingi ya udini na ujinsia.
Mara nyingi kila anapofanya teuzi mpya, kuwahamisha wizara au kuwafuta kazi baadhi ya viongozi, anarudia tatizo lile lile. Nadhani huu ni mwendelezo mbaya kutoka kwa genge la watu wanaomshauri. Mfano, mzuri ni huu uteuezi aliofanya jana. Yaani uteuzi wake umejaa udini na ujinsia kila kona. Ifike mahali Rais Samia aache kusikiliza ushauri wa hili genge ili asijiingize kwenye tatizo la kuigawa nchi kidini bila sababu za msingi. Nashauri anapofanya uteuzi ajaribu kubalance kwa sababu watanzania wote wanamtazama na bahati mbaya wengine hawajuia kama anashauriwa bibaya. Wanadhani anafanya makusudi.
Nawasilisha.
Bora hutaki kuwa chawaChawa mfikishieni salam
Ushahidi upo wazi na uzuri ni kwamba taarifa zote za uteuzi wa DCs, RCs, wakurugenzi na viongozi wengine ziko wazi. Acheni kumshauri Rais vibaya kwa maslahi finyu ya genge lenu la kihuni.Mtoa post unadhani Rais Samia anapendelea dini gani na kwa ushahidi upi. Tuletee hapa hizo teusi tuzione ufafanue hoja zako kwa ushahidi.
Wavaa kobazi hawana haki ya kuwekwa huko walipowekwa??sijakuelewa! sukuma gang na ile dini wapi na wapi?
huna unalolijua weww
Rais inajitahidi kuteua kwa kubalance dini lakini tatizo linakuja pale kwenye wizara muhimu na sehemu nyeti wanawekwa wa dini ile,mfano madini,nishati,utumishi, ukatibu mkuu,ukurugenzi, ukuu wa mikoa na wilaya, kwenye maeneo potential utawakuta wa dini ile
nchi sasa ipo chini ya wavaa kobazi shituka usiwe lofa
Anaona wa dini yake ndo wanaelewana na watafanya kazi vizuri pamoja🙏isitoshe ndo wamesoma sana 😅😅😅Hapa rais anatukanwa kuwa hana uwezo wa kuchuja ushauri anameza kila kitu?
Naamini haya ni maamuzi yake anataka ili 50/50.
Pili anaamini watu wa imani yake zaidi.
Sitegemei jipya kwenye teuzi hizi