Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Lowasa uraisi asahau kabisa safari ya matumaini inaishia kaburini

"Karma" inamrudia.
Umaarufu wake sehemu kubwa ni wa kununua kwa waandishi, waandishi ambao kwa karibu miaka 20 wamekuwa wakimwandika vizuri (kwa malipo) na kuwachafua anaowaona kama washindani wake. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Hizi ndio habari za ndani lakini hazijawa comfirmed.
 

Attachments

  • 1436432344519.jpg
    1436432344519.jpg
    43.2 KB · Views: 774
Endeleeeeni kuneng'eneka tu! MTAKUJA KUSHANGAA SANA!

HIZI SIASA TUNAZIJUA NDANI NJE! TULIENI!
 
Alishakuwa OUT tangu mwanzo wa muda kuipa nafasi Tanzania MPYA na TAIFA JIPYA. Hayo yanajiri sasa ni ukamilisho tu.
 
JK hana ubavu wa kumkata Lowasa kamwwe.Kingunge kashamwambia kwamba Lowasa akikatwa CCCM itapoteza..
Lowassa kitakachomuondoa sio mtu ni kanuni, maana mnamsakama sana mwenyekiti wenu wamkati hamtaki kufuata kanuni.Ni hatari sana kuwa na kiongozi asiyekubali kufuata kanuni tulizojiwekea.
 
Kweli kiongozi hawa teammembe na wenzake wamepanic kuliko kipindi chochote kile,Lowasa ndo chaguo la wananchi,na wakipuuza maoni ya wananchi then tutajua anayetafutwa ni rais wa Tanzania au ni mwenyekiti wa ccm,maana msema kweli ni October 25
 
Hahahahaaa team lowassa wate wapo karibu na vyoo maana matumbo yana wakata vibaya mno
 
Umepotea tafuta kingine, sehemu unayosema Mussa na Sundi waliuziwa nyumba si kweli kwa kuwa kulikuwa na Makontena na baadae yalivunjwa ikajengwa nyumba akapewa mtumishi wa Umma kwa sasa pale Makontena yale hayapo Tena.

Huyo Musa alienda TBA kufanya field ya shule ya masters degree. Na kwa kifupi hawa wote hawana nyumba za serikali wanaishi maisha ya kawaida kabisa.

Pole sana umepotea tafuta kingine.

Aiseee kumbe! Afadhali umenituliza maana nilishaanza kuona chaguo langu Magufuli linakatwa
 
Ni maombi ya kila Mtanzania anayeitakia mema nchi hii kuwa mafisadi wasipenye katika tundu la sindano la CC, tofauti na hivyo ni kilio, majuto na kusaga meno kwa Wadanganyika katika miaka mitano au kumi ijayo.
 
Kweli kiongozi hawa teammembe na wenzake wamepanic kuliko kipindi chochote kile,Lowasa ndo chaguo la wananchi,na wakipuuza maoni ya wananchi then tutajua anayetafutwa ni rais wa Tanzania au ni mwenyekiti wa ccm,maana msema kweli ni October 25

Pole sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom