Lowasa uraisi asahau kabisa safari ya matumaini inaishia kaburini
Lowassa kitakachomuondoa sio mtu ni kanuni, maana mnamsakama sana mwenyekiti wenu wamkati hamtaki kufuata kanuni.Ni hatari sana kuwa na kiongozi asiyekubali kufuata kanuni tulizojiwekea.JK hana ubavu wa kumkata Lowasa kamwwe.Kingunge kashamwambia kwamba Lowasa akikatwa CCCM itapoteza..
mwambieni mzee wenu arudi hospitali kwanza mikimiki ya uchaguzi inampunguzia prognosis ya maradhi yakeEndeleeeeni kuneng'eneka tu! MTAKUJA KUSHANGAA SANA!
HIZI SIASA TUNAZIJUA NDANI NJE! TULIENI!
Hizi ndio habari za ndani lakini hazijawa comfirmed.
Hahahahaaa team lowassa wate wapo karibu na vyoo maana matumbo yana wakata vibaya mno
Hahahahaaa team lowassa wate wapo karibu na vyoo maana matumbo yana wakata vibaya mno
Usichoke kutujuza plz
Umepotea tafuta kingine, sehemu unayosema Mussa na Sundi waliuziwa nyumba si kweli kwa kuwa kulikuwa na Makontena na baadae yalivunjwa ikajengwa nyumba akapewa mtumishi wa Umma kwa sasa pale Makontena yale hayapo Tena.
Huyo Musa alienda TBA kufanya field ya shule ya masters degree. Na kwa kifupi hawa wote hawana nyumba za serikali wanaishi maisha ya kawaida kabisa.
Pole sana umepotea tafuta kingine.
Endeleeeeni kuneng'eneka tu! MTAKUJA KUSHANGAA SANA!
HIZI SIASA TUNAZIJUA NDANI NJE! TULIENI!
Leo lazima waharishe
Kweli kiongozi hawa teammembe na wenzake wamepanic kuliko kipindi chochote kile,Lowasa ndo chaguo la wananchi,na wakipuuza maoni ya wananchi then tutajua anayetafutwa ni rais wa Tanzania au ni mwenyekiti wa ccm,maana msema kweli ni October 25