huku kukiwa na shauku ya wanachama na mashabiki wa chama hicho kujua ni nani atarithi viatu vya Jakaya,kumekuwa na maneno maneno mengi sana yakitoka vinywani mwa mashabiki na wanachama wa ccm kwamba endapo watakata majina ya watu wao wanaowataka wanahama ccm....kwa kauli hii maneno ya mwalimu yanatimia kwamba,''mpinzani wa kweli atatoka ndani ya ccm na sio nje ya ccm''