Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Sasa umeeleza nini?
Team Membe katika ubora wako.Lowassa yupo katika tano bora.Nilikuwepo katika kikao husika.ukitaka nitakueleza kila kitu kilichozungumzwa
Peleleka uharo wako kwa membe! hakatwi mtu!
Peleleka uharo wako kwa membe! hakatwi mtu!
hakuna mwenye uwezo wa kukata jina la lowasa kamwe. kingunge kawaambia lowasa akikatwa na cc patachimbika...
saa nne usiku?Wanajanvi nimepewa habari za uhakika kwamba wandishi wa habari wameshaitwa na wamejaa pale makao makuu ya ccm dodoma tayari kwa kajina 5 wa wagombea kutajwa.
saa nne usiku?