Nawe,naongelea kwenda kutafuta wapiga kura bwana,tunawatongoza tukimaliza tunawahamasisha kujiandikisha,by the time wenye nyumba wanapatana muda wa kuvuna OKOTOBA upo?Ulidhani shamba la uwele?
Wanjanja siku hizi wanachagua mtu sio chama
Ukiendelea na uchama wako utalima sana
Team Membe katika ubora wako.Lowassa yupo katika tano bora.Nilikuwepo katika kikao husika.ukitaka nitakueleza kila kitu kilichozungumzwa
Team Membe katika ubora wako.Lowassa yupo katika tano bora.Nilikuwepo katika kikao husika.ukitaka nitakueleza kila kitu kilichozungumzwa
hahahahaaa nilidhania shamba la mchicha
Hii hatari maswali ya whatsapp hayo,tena ya vijana wa kidato cha pili kushuka chini.Pasco Try to be specific, marais wapo wengi, yeye atakuwa rais wa nini? Kuna rais wa TFF, Yanga, DARUSO, Masharobaro, Bongo movie nk.
La hapa MSASANI au?Haya bwan karibu shamba
Wasipokata basi CCM yote itajinasibu mbele ya umma wa watanzania kuwa ni chama la mafisadi. Wasafi wote watajiunga UKAWA, October 25 kiulaiiiiiniii!
Ladies and gentlemen's from the far east corner of CCM, I'm pleased to announce to you the top five runners who successfully screened top during CC meeting held earlier this morning at CCM Convection Centre;
1)Bilal
2)Pinda
3)Migiro AshaRose
4)Augostino Ramadhan
5)Edward Lowwasa
Thanks for your time and consideration.
Regards,
COTANGENT
Head,
Special Task Force.
Peleleka uharo wako kwa membe! hakatwi mtu!
Wewe wajidanganya tu aiseee
mie kulima sijui kabisaaa najua kutafuna tu:wacko: