Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Simba Sports Club wamevamia dili la Ramadhan Chowedo na Yanga. Azam na Singida Black Stars pia wanapambana kumpata
 
Yanga wako kwenye mazungumzo ya kumsajili James Akaminko
 
Simba wanaangalia uwezekano wa kumsajili Taddeus Nkeng
 
Nathaniel Chilambo anatakiwa na Simba SC
Anamzidi nini Duchu? Au ndio yale mambo ya 10%. Ni mihemko tu. Baadhi ya viongozi wa sasa pale Simba ni janja janja tu hamna lolote kila msimu kutengeneza sajili za uongo na kweli ili wale pesa ndio maana waligombana na Fadlu kuhusu Mligo. Tuliomuona Kapombe wakati anaanza tunajua alikuwaje mpaka kuimprove kufika alivyo sasa. Huyo Duchu yupo vizuri sana ila ana mapungufu kidogo sana yanayorekebishika. Hata Kapombe alikuwa kama huyu Duchu mnayemuona leo.

Ni mtizamo tu.
 
Unakosea sana mkuu kusema ni mtizamo .....nadhani umenena ukweli 100 fil 100.
 
Uko sahihi sana.
 
Unakosea sana mkuu kusema ni mtizamo .....nadhani umenena ukweli 100 fil 100.
Mkuu kusema ni mtizamo ni kuvumilia na kuheshimu pia mitizamo na mawazo ya wale wanaona tofauti na nianavyo mimi. Hili nimejifunza kutokana na umri niliofikia sasa.
 
Ulichosema upo sahihi mkuu.
...sina maana tofauti ni chagizo tu
 
Ni Kwamba ana kitu kizuri kwenye uchezaji,au unamaanisha nini hapo!!?
Ana mapungufu mengi sana, anaogopa kufanya mashanbulizi zaidi ya kupiga back pass lakini Simba walipomtoa kwa mkopo anacheza vizuri labda presha ya kucheza timu kubwa inamsumbua
 
Back
Top Bottom