TETESI: Walio nyuma ya Dr. Shein na Maalim Seif

kama ccm imegawanyika mala mbili na cuf wamoja, hii ni kweli ndani ya ccm kuna dhambi kuna wanaoikubali, kuna wasiotaka. sikuzote kwenye halali ukitumbukiza zambi mtagawanyika tu. amani ya zanzibar ni kutangaza mushindi hiyo ndio halali, na halali ndio amani.
 
Last edited:
Hivi yule jamaa kchwani zimo kweli? Maana alisema CUF ni mabwege kila uchaguzi wanalalamika kuibiwa kura kwanini wasizilinde. Sasa hivi wamelinea na wameshinda anachoongea hata hakijulikani
So ndio makaburu weusi wale
 
hakuna rasi mstaafu anaekubalika kama Mwinyi, busara zake ni muhimu na ziuungwe mkono.
 
Mm naona yote uliyo yaandika mleta mada ni no 2,3,4... lakini no 1 ya kikwazo cha znz kuto tawalika na chama tofauti na kinacho tawala serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzani ni katiba na mkataba wa muungano yaani aina ya muungano tulio nao.
Aina ya muungano wa serikali mbili si rafiki wa wapiga kura huwezi kuwa na rais wa ZNZ wa cuf na ukawa na rais wa JMT wa ccm.
Rais wa JMT ndio amiri jeshi mkuu wa JMT vipi rais wa znz atapata utiifu wa vyombo vya usalama ilhali sio bosi wao?

Mmmmhh!!! hii inaleta maana, kwamba rais wa JMT ni wa kutoka CCM na kule ZNZ rais awe kutoka CUF!!! Hasa inapokuja suala la amiri jeshi mkuu, kama ambavyo Shein amekua akipewa heshima zote kutoka kwa vyombo vya ulinzi na usalama hata kama si amiri jeshi mkuu, sasa sijui ingekuwaje kama angekua ni Maalim Seif.

Tukiangalia upande wa pili, huu uchaguzi wa ZNZ ulikua na maana gani kama hali hii ya "KUTAKA" mshindi atoke CCM tu? Tunasafari ndefu sana juu ya Demokrasia na huu muungano wetu.
 
Mimi nadhani twende hivihivi mpaka miaka mitano iishe then tufanye uchaguzi wam2020 huu uende hivi hivi.
 
hivi nkapa alimuokota wapi huyu sheni
Nkapa, Che nkapa alimpimga tingtinga yule makamo wake, Omar Juma ndio alimuokota huyu Shein.
Nkapa ameipaka mikono yake rangi nyekundu.
 
Wanajukwaa kama mnavyojua mgogoro wa Zanzibar unavyofukuta.
Inasemekana kwamba Shein angetangazwa mshindi lakini kuna vigogo ndani ya CCM ambao wanamuunga Seif mkono na wengine wanamuunga Shein mkono.

Walio nyuma ya Seif ni

1. Aman abeid Karume
Huyu ni rais mstaafu wa Zanzibar (2000-2010).
Inavyosemekana kwamba Karume amechoka na siasa za bara jambo ambalo limeidumaza Zanziba kimaendeleo. Karume anaitaka Zanzibar iwe mamlaka kamili yenye kujiamulia mambo yake yenyewe.
Karume anakiri kuwa kama isingekuwa muungano, Zanzibar ukute ni kisiwa kikubwa nyenye maendeleo ya kutisha.
Mpaka sasa hajasema lolote kuhusu Zanzibar lkn ndani ya vikao anamuunga mkono Seif

2. Dr Salmin Amour
Huyu naye ni rais mstaafu wa Zanzibar.
Yeye pia amechoka siasa mbovu za Tanganyika na hivyo anaamini chini ya Maalim Seif Zanzibar itakuwa vizuri kimaendeleo.
Mpaka sasa bado hajasema chochote kuhusu mgogoro huu, lkn ndani ya vikao yeye ni mmoja ya waliokuwa wanamuunga mkono Seif.

1.Dr John Magufuli
Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Unaelezwa kuwa kama si msimamo wake basi ukute Shein alishatangazwa kinguvu kwamba ndiye mshindi.
Inaelezwa kuwa Magufuli na Shein haziendani kabisa, na hakutaka Shein awe mgombea wa Zanzibar.
Msimamo wa Magufuli ni kwamba anataka katiba ya Zanzibar Ikifuatwa.
Hasira za Magufuli zinatokana na Kikwete kutomwachia uenyekiti na pia kumkwamisha katika mipango yake mingi.

Wanaomuunga mkono Shein.

1. Jakaya Kikwete
Huyu ni rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania(2005-2015). Kama mnavyohua bado yeye ni mwenyekiti wa CCM.
Yeye kwa nguvu kubwa anamuunga mkono shein. Kijwete anahofu ya kuamini kuwa Seif akishika nchi muungano utavunjika.

2. Benjamini Mkapa
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
Yeye ndiye kizingiti kikubwa juu ya mgogoro huu.
Mkapa ndiye mwenye msumamo mkali kuhusu Zanzibar, ambaye hataki kusikia Zanzibar ikikabidhiwa kwa Seif.
Inaelezwa kuwa mwazoni Shein alikuwa kakubali kushindwa, lakini kutokana na misimamo ya mkapa ikabidi afuate msimamo wake.

Ambao hawapo Upande wowote.

2.Ally Hassan Mwinyi
Rais mstaafu wa awamu ya pili.
Mwinyi anachojali ni amani ya Zanzibar na kwamba mgogoro huo uangalie Maslai ya Zanzibar Zaidi.

2. Joseph Warioba
Wazuri mkuu mstaafu.Yeye anaamini amani ya Zanzibar ni muhimu kulijo Seif na Shein.
Anataka mgogoro huo uangalie Zanzibar Zaidi.

ID yako ni Ibilisi....sipendi uchambuzi wako uliojaa hisia zaidi kuliko uhalisia. Chambuzi za namna hii ni balaa kwa nchi zetu....
 
ni vema ukatuchambulia huo uhalisia
 
Hivi thamani ya wapiga kura iko wapi siku hizi maana walitumiaga ubabe sasa wanataka kutumia style ingine wanaogopa kwenda the ICC wanatumia janja ya kurudia uchaguzi ili watakao goma wapigwe vurugu zitokeee wawasingizie ndio wao wa kwenda ICC wakati kabisa uchaguzi wa October ulikuwa huru na wa haki

Hiii ni athari ya kutokubaliana na KATIBA ya warioba watanganyika na wazanzibar wameisha jua kweli ya kweli wapeni nchi yao huru wadumishe muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
Nilitegemea Ben angekuwa kiranja wa kusimamia haki na Amani Zanzibar kama nafasi mmoja adimu sana ya Muumba kumsamehe na yale ya 2001! Ila wapi shetani akikung'ang'ania kumbe ndivyo hivyo tena!

Ondoa conclusion, ni tetesi
 
Wanajukwaa kama mnavyojua mgogoro wa Zanzibar unavyofukuta.
Inasemekana kwamba Shein angetangazwa mshindi lakini kuna vigogo ndani ya CCM ambao wanamuunga Seif mkono na wengine wanamuunga Shein mkono.

Walio nyuma ya Seif ni

1. Aman abeid Karume
Huyu ni rais mstaafu wa Zanzibar (2000-2010).
Inavyosemekana kwamba Karume amechoka na siasa za bara jambo ambalo limeidumaza Zanziba kimaendeleo. Karume anaitaka Zanzibar iwe mamlaka kamili yenye kujiamulia mambo yake yenyewe.
Karume anakiri kuwa kama isingekuwa muungano, Zanzibar ukute ni kisiwa kikubwa nyenye maendeleo ya kutisha.
Mpaka sasa hajasema lolote kuhusu Zanzibar lkn ndani ya vikao anamuunga mkono Seif

2. Dr Salmin Amour
Huyu naye ni rais mstaafu wa Zanzibar.
Yeye pia amechoka siasa mbovu za Tanganyika na hivyo anaamini chini ya Maalim Seif Zanzibar itakuwa vizuri kimaendeleo.
Mpaka sasa bado hajasema chochote kuhusu mgogoro huu, lkn ndani ya vikao yeye ni mmoja ya waliokuwa wanamuunga mkono Seif.

1.Dr John Magufuli
Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Unaelezwa kuwa kama si msimamo wake basi ukute Shein alishatangazwa kinguvu kwamba ndiye mshindi.
Inaelezwa kuwa Magufuli na Shein haziendani kabisa, na hakutaka Shein awe mgombea wa Zanzibar.
Msimamo wa Magufuli ni kwamba anataka katiba ya Zanzibar Ikifuatwa.
Hasira za Magufuli zinatokana na Kikwete kutomwachia uenyekiti na pia kumkwamisha katika mipango yake mingi.

Wanaomuunga mkono Shein.

1. Jakaya Kikwete
Huyu ni rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania(2005-2015). Kama mnavyohua bado yeye ni mwenyekiti wa CCM.
Yeye kwa nguvu kubwa anamuunga mkono shein. Kijwete anahofu ya kuamini kuwa Seif akishika nchi muungano utavunjika.

2. Benjamini Mkapa
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
Yeye ndiye kizingiti kikubwa juu ya mgogoro huu.
Mkapa ndiye mwenye msumamo mkali kuhusu Zanzibar, ambaye hataki kusikia Zanzibar ikikabidhiwa kwa Seif.
Inaelezwa kuwa mwazoni Shein alikuwa kakubali kushindwa, lakini kutokana na misimamo ya mkapa ikabidi afuate msimamo wake.

Ambao hawapo Upande wowote.

2.Ally Hassan Mwinyi
Rais mstaafu wa awamu ya pili.
Mwinyi anachojali ni amani ya Zanzibar na kwamba mgogoro huo uangalie Maslai ya Zanzibar Zaidi.

2. Joseph Warioba
Wazuri mkuu mstaafu.Yeye anaamini amani ya Zanzibar ni muhimu kulijo Seif na Shein.
Anataka mgogoro huo uangalie Zanzibar Zaidi.
yani unanikwaza kwelikweli ulivyobadili ID na Avatar yako
Please nakuomba urudie shost na ile ID yako asee....nlikuzoea ivo mm, unanikwaza kweli
 
hao watatu uliowataja mwanzo ilitakiwa useme kwamba wanataka haki ifanyike kwa maana kwamba aliyeshinda akabidhiwe nchi, hao wawili ulitakiwa useme kwamba hawataki haki ifanyike na kumbukeni nilivyowaambieni huko nyuma kwamba,Mkapa na Kikwete lazima watakuja kuhukumiwa kwa yote waliyowafanyia watanzania kama sio wao watoto wao au wajukuu wao kwa maana kwamba kilichowapata Gadafi na Sadam lazima kitawapata na wao pia kwamkuwa hawataki haki ifanyike katika hili suala, na hao wawili wa mwisho ni bendera fuata upepo
kwa hy unaamin sadam na gadaf walihukumiwa kwa makosa yao halali au umeamua kuweka akili zako likizo.rudi ufikirie upya
 
Wanajukwaa kama mnavyojua mgogoro wa Zanzibar unavyofukuta.
Inasemekana kwamba Shein angetangazwa mshindi lakini kuna vigogo ndani ya CCM ambao wanamuunga Seif mkono na wengine wanamuunga Shein mkono.

Walio nyuma ya Seif ni

1. Aman abeid Karume
Huyu ni rais mstaafu wa Zanzibar (2000-2010).
Inavyosemekana kwamba Karume amechoka na siasa za bara jambo ambalo limeidumaza Zanziba kimaendeleo. Karume anaitaka Zanzibar iwe mamlaka kamili yenye kujiamulia mambo yake yenyewe.
Karume anakiri kuwa kama isingekuwa muungano, Zanzibar ukute ni kisiwa kikubwa nyenye maendeleo ya kutisha.
Mpaka sasa hajasema lolote kuhusu Zanzibar lkn ndani ya vikao anamuunga mkono Seif

2. Dr Salmin Amour
Huyu naye ni rais mstaafu wa Zanzibar.
Yeye pia amechoka siasa mbovu za Tanganyika na hivyo anaamini chini ya Maalim Seif Zanzibar itakuwa vizuri kimaendeleo.
Mpaka sasa bado hajasema chochote kuhusu mgogoro huu, lkn ndani ya vikao yeye ni mmoja ya waliokuwa wanamuunga mkono Seif.

1.Dr John Magufuli
Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Unaelezwa kuwa kama si msimamo wake basi ukute Shein alishatangazwa kinguvu kwamba ndiye mshindi.
Inaelezwa kuwa Magufuli na Shein haziendani kabisa, na hakutaka Shein awe mgombea wa Zanzibar.
Msimamo wa Magufuli ni kwamba anataka katiba ya Zanzibar Ikifuatwa.
Hasira za Magufuli zinatokana na Kikwete kutomwachia uenyekiti na pia kumkwamisha katika mipango yake mingi.

Wanaomuunga mkono Shein.

1. Jakaya Kikwete
Huyu ni rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania(2005-2015). Kama mnavyojua bado yeye ni mwenyekiti wa CCM.
Yeye kwa nguvu kubwa anamuunga mkono Shein. Kikwete anahofu ya kuamini kuwa Seif akishika nchi muungano utavunjika.

2. Benjamini Mkapa
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Yeye ndiye kizingiti kikubwa juu ya mgogoro huu.
Mkapa ndiye mwenye msimamo mkali kuhusu Zanzibar, ambaye hataki kusikia Zanzibar ikikabidhiwa kwa Seif.
Inaelezwa kuwa mwazoni Shein alikuwa kakubali kushindwa, lakini kutokana na misimamo ya Mkapa ikabidi afuate msimamo wake.

Ambao hawapo Upande wowote.

2.Ally Hassan Mwinyi
Rais mstaafu wa awamu ya pili.
Mwinyi anachojali ni amani ya Zanzibar na kwamba mgogoro huo uangalie Maslahi ya Zanzibar Zaidi.

2. Joseph Warioba
Waziri mkuu mstaafu. Yeye anaamini amani ya Zanzibar ni muhimu kuliko Seif na Shein.

Anataka mgogoro huo uangalie Zanzibar Zaidi.

Hizi Tetesi kweli ni Tetesi na zitabakia kuwa ni Tetesi! hakuna CCM hata mmoja mwenye kupenda amani ya nchi hii. wote hao wana mawazo ya kumwaga Damu. Kwao madaraka ni bora kuliko uhai Amani ya nchi!
 
Hoja ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa visiwani ni udhaifu wa mipango ya shetani mbele ya ukweli ulio dhahiri. Shetani anapo panga mbinu zake za uongo zinazompa faida ya muda mfupi huwa anasahau baadhi ya point ambazo zinakua kama cheche ziwezazo kulipua moto wa ukweli mbeleni. Vizazi vijavyo vitahoji bila woga: iweje uchaguzi mmoja uwe na matokeo yafaayo na matokeo yasiyofaa? Agenda ilikua nini? (HII NI AIBU INAYOKUWA NA KUONGEZEKA KADRI MUDA UNAVYOENDA)
 
Back
Top Bottom