General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Wanajukwaa kama mnavyojua mgogoro wa Zanzibar unavyofukuta.
Inasemekana kwamba Shein angetangazwa mshindi lakini kuna vigogo ndani ya CCM ambao wanamuunga Seif mkono na wengine wanamuunga Shein mkono.
Walio nyuma ya Seif ni
1. Aman abeid Karume
Huyu ni rais mstaafu wa Zanzibar (2000-2010).
Inavyosemekana kwamba Karume amechoka na siasa za bara jambo ambalo limeidumaza Zanziba kimaendeleo. Karume anaitaka Zanzibar iwe mamlaka kamili yenye kujiamulia mambo yake yenyewe.
Karume anakiri kuwa kama isingekuwa muungano, Zanzibar ukute ni kisiwa kikubwa nyenye maendeleo ya kutisha.
Mpaka sasa hajasema lolote kuhusu Zanzibar lkn ndani ya vikao anamuunga mkono Seif
2. Dr Salmin Amour
Huyu naye ni rais mstaafu wa Zanzibar.
Yeye pia amechoka siasa mbovu za Tanganyika na hivyo anaamini chini ya Maalim Seif Zanzibar itakuwa vizuri kimaendeleo.
Mpaka sasa bado hajasema chochote kuhusu mgogoro huu, lkn ndani ya vikao yeye ni mmoja ya waliokuwa wanamuunga mkono Seif.
1.Dr John Magufuli
Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Unaelezwa kuwa kama si msimamo wake basi ukute Shein alishatangazwa kinguvu kwamba ndiye mshindi.
Inaelezwa kuwa Magufuli na Shein haziendani kabisa, na hakutaka Shein awe mgombea wa Zanzibar.
Msimamo wa Magufuli ni kwamba anataka katiba ya Zanzibar Ikifuatwa.
Hasira za Magufuli zinatokana na Kikwete kutomwachia uenyekiti na pia kumkwamisha katika mipango yake mingi.
Wanaomuunga mkono Shein.
1. Jakaya Kikwete
Huyu ni rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania(2005-2015). Kama mnavyojua bado yeye ni mwenyekiti wa CCM.
Yeye kwa nguvu kubwa anamuunga mkono Shein. Kikwete anahofu ya kuamini kuwa Seif akishika nchi muungano utavunjika.
2. Benjamini Mkapa
Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Yeye ndiye kizingiti kikubwa juu ya mgogoro huu.
Mkapa ndiye mwenye msimamo mkali kuhusu Zanzibar, ambaye hataki kusikia Zanzibar ikikabidhiwa kwa Seif.
Inaelezwa kuwa mwazoni Shein alikuwa kakubali kushindwa, lakini kutokana na misimamo ya Mkapa ikabidi afuate msimamo wake.
Ambao hawapo Upande wowote.
2.Ally Hassan Mwinyi
Rais mstaafu wa awamu ya pili.
Mwinyi anachojali ni amani ya Zanzibar na kwamba mgogoro huo uangalie Maslahi ya Zanzibar Zaidi.
2. Joseph Warioba
Waziri mkuu mstaafu. Yeye anaamini amani ya Zanzibar ni muhimu kuliko Seif na Shein.
Anataka mgogoro huo uangalie Zanzibar Zaidi.