Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,272
Hivi yule jamaa kchwani zimo kweli? Maana alisema CUF ni mabwege kila uchaguzi wanalalamika kuibiwa kura kwanini wasizilinde. Sasa hivi wamelinea na wameshinda anachoongea hata hakijulikanikuna huyu mwingine balazi idd ndio kikwazo kikubwa... shein mwenyewe yuko tayari kuachia nchi