TETESI:Wale wa waloapply degree kupitia nacte

TETESI:Wale wa waloapply degree kupitia nacte

Udom nimeapply Bachelor of Education in commerce,mara ya kwanza tulioweka first priority ilikuwa ni 55 lakini juzi imechange na kuonyesha 40 huku capacity ikionyesha 0,Jana usiku mpaka sasa hivi inaonyesha tulioweka first priority ni 40 lakini capacity inaonyesha 22.Naomba mnieleweshe maana yake ni nini hapo?
 
nadhani kutakuwa na course utakayosoma kwanza ili kuingia degree
 
Mambo yote yanayojitokeza kwenye profile zenu ni hitilafu ndogondogo za kimtandao. Hakuna uhusiano wowote wa moja kwa moja na madiliko yanayotokea kwenye profile zenu otherwise kuwe na official informations. Tulieni tu wakati utaamua.
 
Udom nimeapply Bachelor of Education in commerce,mara ya kwanza tulioweka first priority ilikuwa ni 55 lakini juzi imechange na kuonyesha 40 huku capacity ikionyesha 0,Jana usiku mpaka sasa hivi inaonyesha tulioweka first priority ni 40 lakini capacity inaonyesha 22.Naomba mnieleweshe maana yake ni nini hapo?

Hilo ni tatizo la mtandao, unakuwa haujakaa poa, system ikijiupdate ndo maana mambo yanabadilika, lkn ukiona capacity ni 22 ujue hzo ni nafasi ambazo hazjapata watu
 
Hivi do you even understand ,,what you wrote?unajua GPA ya 2.7 kuendelea ni nini?Guys Sile.nt ni JIBU kama majibu mengine,kama kitu ujui shut the hell up!
Mwambie jamaa hajui ndio hao wanaokwenda chuo kushindana na kufuatilia Matokeo ya watu.2.7gpa ndio uhitaji na ndio sifa ya mtu kusoma bachelor, pia Nacte wanafanya calculation upya na sio GPA hiyo mfano Mimi nilikuwa na 3 kamili kwa sasa ni 3.5 gpa, so hasiongee mambo ambayo hana uhakika nayo.




hajui huyo jamaa huo ndio uhitaji wa kusoma bacheloraa
 
Watu wa diploma hawatengwi ila wengi wao ni wamefaulu kwa kiwango cha chini yaan GPA ya 2.7 had 2.9 sasa itakuwia ngumu kupigania nafasi chache ambazo zinaachiwa ila kama ulifanya vizuri na una GPA ya kwanzia 3 wew chagua tuu chuo huwezi kosa.

nakataa kwamba wa diploma ufaulu wao wa chini kiasi cha GPA hizo ulizotaja mwee! labda hizo diploma zingine lakini sio za engineering ndugu yangu watu wa GPA za juu mno mpaka shida labda hizo diploma za miaka miwili na fani inje na engineering
 
TANGAZO KWAWAOMBAJI WA KOZI ZA AFYA

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kozi za afya katika ngazi za Astashahada na Stashahada kupitia mfumo wa udahili wa pamoja (CAS) kuwa, uteuzi wa awali umefanyika na baadhi ya waombaji wamechaguliwa kujiunga na masomo. Waombaji wote wanatakiwa kutembelea kurasa (profile) zao kuona kama wamechaguliwa kujiunga na masomo na kuthibitisha uteuzi huo.

Waombaji ambao hawajachaguliwa wanashauriwa kusoma sababu za kutokuchaguliwa kisha kufuata maelekezo uliotolewa ili kuweza kuchaguliwa.

Kutokana na uteuzi huu, Baraza limetoa muda kwa ajili ya kufanya marekebisho kwenye maombi yaliyokwisha kutumwa. Maombi mapya pia yanaweza kufanyika katika kipindi hicho.

Waombaji wenye Astashahada za Uganga wanaweza kuomba mafunzo ya kujiendeleza (Stashahada ya Uganga) katika vyuo vifuatavyo: Musoma CATC, Sumbawanga CATC, Masasi CATC, Tanga AMOTC and Ifakara TTCIH.

Mwisho wa kufanya mabadiliko haya ni tarehe 22 Septemba 2015.

Imetolewa na:

Katibu Mtendaji

Baraza la Taifa la ElimuyaUfundi (NACTE)

15 Septemba 2015
 
Msaada wakuu nikitaka kulogin niangalie profile yangu inaniambia nimeingiza wrong data wakati sio kweli tatizo linaweza kuwa nini
 
Wadau msaada plz duration ya bach. Of science in chemistry ni mda gan?
 
Back
Top Bottom