TETESI:Wale wa waloapply degree kupitia nacte

TETESI:Wale wa waloapply degree kupitia nacte

Inakuaje Firstly priority imepungua na capacity imepungua.vipi hapo kuna dalili yoyote?nina GPA ya 3.2
 
Hivi do you even understand what you wrote?unajua GPA ya 2.7 kuendelea ni nini?Guys Silent ni JIBU kama majibu mengine,kama kitu ujui shut the hell up!
Naelewa nilichokiandika sana.
Chuo wanapokea GPA ya mwisho kabisa ni 2.7 inamaanisha kama una 2.6 huna vigezo.
Sasa pamoja na kwamba GPA yao ya mwisho ni 2.7 bado ni ndogo sana kupata chuo ikiwa nafasi zitakuwa chache.
Atlist uwe na GPA Kwanzia 3 na kuendelea kwa mfano 3.1, 3.2......
wew ambacho hujaelewa hapo ni nini?
USIKURUPUKE UNAJIKUTA UNASAHIHISHA KUMBE MWENYEWE BOYA
 
Ni kweli kabisa GPA Ndogo ni hatari kwa Afya labla urudishwe kwenye chuo ulichotokea kama umekiomba
 
mimi nina GPA ya 3.8 lakini tumbo joto
 
Watu wa diploma hawatengwi ila wengi wao ni wamefaulu kwa kiwango cha chini yaan GPA ya 2.7 had 2.9 sasa itakuwia ngumu kupigania nafasi chache ambazo zinaachiwa ila kama ulifanya vizuri na una GPA ya kwanzia 3 wew chagua tuu chuo huwezi kosa.

Nakuelewa sana ndugu at least umeniondoa hofu
 
Faculty zote nilizochagua nina vigezo navyo ila nikiangalia Capacity ndo sheeda
 
Faculty zote nilizochagua nina vigezo navyo ila nikiangalia Capacity ndo sheeda

Ha ha ha fanya kwa imani..
Amini kati ya nafasi kumi zilizopo ni miongoni mwao.
Huwezi kosa chuo. Wapo waliojaza nafasi hapo na GPA zao za 2.7 wanaanzaje kukuacha.
 
Faculty zote nilizochagua nina vigezo navyo ila nikiangalia Capacity ndo sheeda

Nilidhani Ni Mimi Tu kumbe tupo wengi. Nina GPA ya 4.7 ila hizi capacity zinavyosoma 0 zinaniumiza kichwa mno.
 
nina imani wenye GPA kama yangu wapo wengi
 
hivi kwawatu wanaotokea diploma uwa wanapata mkopo kweli?
 
watu wa diploma hawatengwi ila wengi wao ni wamefaulu kwa kiwango cha chini yaan gpa ya 2.7 had 2.9 sasa itakuwia ngumu kupigania nafasi chache ambazo zinaachiwa ila kama ulifanya vizuri na una gpa ya kwanzia 3 wew chagua tuu chuo huwezi kosa.

asanteeee mi nina above 3
 
hizo tetesi zako ni za uongo maana mimi bado capacity zangu zipo zile zile hazijapungua.. Ingawa jana zilikuwa zero leo zimerudi vile vile
 
hizo tetesi zako ni za uongo maana mimi bado capacity zangu zipo zile zile hazijapungua.. Ingawa jana zilikuwa zero leo zimerudi vile vile

Uwe unaelewa maana ya tetesi(inaweza kuwa kweli au uongo) ila kuna watu wamefafanua vizur ns kuelewesha ujamuona mtu akija akapinga km ww
 
mfano sina mzazi mmoja(baba) arafu nimechagua course ambayo ni priority kweny mkopo
 
sisi wenye gpa ya 1.9 tunafanyaje tupate sifa za kusoma degree
 
Back
Top Bottom