Abby195
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 183
- 32
Habar wana JF
kuna mtu kaenda tcu kuuliza kuhusiana application kupitia nacte Inasemekana wale walioapply kupitia nacte km capacity ikionesha zero(0) maana yake huna nafasi ktk iko chuo lkn km capacity ina namba mfano capacity 2 maana yake una possibility kuchaguliwa hapo
But official majina next week according to maafisa wa tcu.....